Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Rais mwendokasi
Hizo ndio alizokataa Rais juzi and im telling kwa uwezo mdogo unaobainishwa na matokeo ya huyo bint.. Labda diploma zile geresha otherwise hawezi faulu. Ushindwe miaka 4 ufaulu miezi 9. Kiukweli tumeharibu elimuHata huko wanaweza kuumpa kozi zinazoweza kuumpa sifa za kudahiliwa kwa kozi ya shahada. Hebu vijana changamkieni fursa acheni kukariri kwenda chuo kikuu mpaka kidato cha sita. Vipo vyuo mbalimbali vipo NACTE huinua watu kwa muda wa miaka mitatu unakuwa na sifa ya kuchukuw shahada Mfano astashahada miezi 9, stashahada miezi 18 na mwanafunzi anatoka akiwa ni mtaalamu anaweza kuajirika na kupewa kazi za kitaalam tofauti na aliyetoka kidato cha sita kwani yeye si mtaalamu.
Mkulu lazima kawa mkali....hata ukimsalimia unaweza kutoka na kofiLeo Magogoni hakukaliki
Threads zimeunganishwa... kuna ya 2012 ambayo ilitoa matokeo ya Jesca na ya leo yanayoonesha hatimae dada Jesca anabukua yunivasite akitokea chuo cha Magogoni!Sidhani,ina maana mwaka 2012 huyo kihiyo alikuwa ameshaingia UDOM wakat hayo matokeo ya form four ni 2011?
Kama Mwana'fulani' kipindi fulani.Jesca kawa maarufu sana
Faiza foxy, unasemaje hapo mammy?top ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.
Kwahiyo unamaanisha garasa kuliwekea ulinzi la nini kv hakuna anayelihitaji; au?!harafu huyu Mtoto maisha anayoishi hapa udom ana ulinzi mkali sana kumbe na yeye kilaza tu
Swali gumu sanaTanzania my country!!!!!!!!!
Ccm Kuna wa kumwamini?????
kwani ukitokea wa kwanza inamsaidia kitu gani huo mtu?top ten haina madrasa product kila mwaka kwanini?
kwa sababu ni mtoto wa makufuliHakuwa na sifa ya kusoma degree..alidahiliwa kwa sababu ni mtoto wa kigogo
jaliona mkuu?Kibibi kizee FaizaFoxy yumo keshatoa neno la hekima sana
nadhani hata yeye makufuli aliunga unga, from certificate to phd...MBAYA ZAIDI LUGHA YA MALKIA IMEKAA MKONO WA KUSHOTO BORA DOGO ALIPATA KA CKumbe hata rais wetu huyu mwema naye ana kilaza wake nyumbani??
Mtoto mwendokasi mpaka wanapitiliza nyumbaniRais mwendokasi
Kwa hiyo dogo ndio mkali wa lugha home? Wakiweka BBC/CNN anaitwa atafasiri?nadhani hata yeye makufuli aliunga unga, from certificate to phd...MBAYA ZAIDI LUGHA YA MALKIA IMEKAA MKONO WA KUSHOTO BORA DOGO ALIPATA KA C