Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Hii inatia mashaka sana hii, alafu juzi povu linamtoka ....VILAZA SIJUI NINI NIN DUUUH, KUMBE NAYE ANAKILAZANi kweli kabisa ila yeye hajafukuzwa
Hii inatia mashaka sana hii, alafu juzi povu linamtoka ....VILAZA SIJUI NINI NIN DUUUH, KUMBE NAYE ANAKILAZANi kweli kabisa ila yeye hajafukuzwa
Ulinzi mkali? Kweli raslimali za taifa zinatumika,hawachelewi kumpa msafaraharafu huyu Mtoto maisha anayoishi hapa udom ana ulinzi mkali sana kumbe na yeye kilaza tu
Tatizo hujui hesabu bwegge wewe, kimahesabu anatakiwa awe chuoni mwaka wa kwanza semester ya pili, yeye mwaka wa pili amefikaje? Haya nenda kajambe urudi kujibu swali kilaza wewe.
View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
NECTA CSEE 2011
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.
Mkuu utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Yaani hata kwa hili kuna wanaomtetea Magufuli! Kweli nachoka...alinunua boti chakavu akatetewa, akauza nyumba za serikali akapata watetezi, kwenye ufisadi Tanroads akatetewa, kwenye barabara hewa anatetewa n.k., duh!
We nawe unajiita msomi?? hujui kama nacte hudaili pia?Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Hapana , mtoto wa daktari awe kilaza , si kweli .Okay kama ni kweli, huyu naye ni Kilaza au?
Bora kuunga unga hapo utaeleweka Una cheti,diploma na kuendelea..sasa hilo tokeo tunakukuta UDOM na unakula mkopo wetu..hivi utatujibu nini[emoji53]nadhani hata yeye makufuli aliunga unga, from certificate to phd...MBAYA ZAIDI LUGHA YA MALKIA IMEKAA MKONO WA KUSHOTO BORA DOGO ALIPATA KA C
Mimi mwenyewe nimesoma shule ya Msingi na Ufundi Mbezi Luis. Najitahidi tahidi tu.Si uandike tu kwa kiswahili ndg.
sisi wengine santi kayumba,hivi vingereza vyenu hatuelewi.
Swali la msingi ni je, jamaa kashaipata hii habari??? au anazuga kama haoni naye anakilaza??View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
NECTA CSEE 2011
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.
Ayaaaaa! kuna watu wanajua kuchimbua.Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.Napendekeza mleta uzi apewe tunzo ya mwana JF bora kwa nusu mwaka huu wa 2016.
Biology ni lazima?...Hakufanya biology?
hatary
Inasemekana udaktari pia "ulimsumbua" pale mlimani ikabidi......nadhani kuna Uzi uliwahi kuujadili....nafikiri kwa sakata hili watu wanaojua undani watatwambia,udaktari unaandika dissertation kubwa za mamia ya kurasa kwa lugha ya bibi elizabeti na inapitiwa na panel ya watu ikiwamo presentations....sasa je kwa nini lugha ya 10 Downing Street iwe ishuuuuuu!!Hapana , mtoto wa daktari awe kilaza , si kweli .
hili swali angeuliza mkulu, maana toto kilaza na lipo chuo kikuu linasoma, sijui mzee alipokua anatoa povu alikua hajui ya mwana????Bora kuunga unga hapo utaeleweka Una cheti,diploma na kuendelea..sasa hilo tokeo tunakukuta UDOM na unakula mkopo wetu..hivi utatujibu nini[emoji53]
JIPU HALIWEZI TUMBUA JIPU, tunadanganyana tu humuNaomba kuulza huyu alifel 4m 4 akafaulu Chet zen degree au ndyo elimu baba m2 anayoishangaa ?????
Asantehhh tz ma4ja wenyew hawahawa
Wanajipanga kuleta hoja au thread za zima moto, huu uzi wanaupita kimya kimyaNmecheka Sana,!!!Lizaboniii,hayo macho veepee! Njoo changia bhana!! Umekosa hata cha kupost?? Anyway,,grp LA Kina lizaboni anzisheni uzi mwingine angalau mzime huu!!, ni ushauri tuu