Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Huyu Binti wa JPM alianza kusoma Kozi ya Certificate ambayo entry qualification ni kuwa na alau "D" nne. Baada ya hapo akasoma kozi ya Diploma na baadaye sasa yupo chuo kikuu. Nadhani sasa hakuna tena utata.Ahsante
Tatizo hujui hesabu bwegge wewe, kimahesabu anatakiwa awe chuoni mwaka wa kwanza semester ya pili, yeye mwaka wa pili amefikaje? Haya nenda kajambe urudi kujibu swali kilaza wewe.
 
Wana UDOM popote mlipo....endeleeni kusali na kuomba Dua kwa mwenyezi mungu....haina shaka hatachelewa kujibu na kuupiga kwa mapigo makuu utawala huu....piga goti mwite bwana wa majeshi ambaye hajawahi kushindwa na hatashindwa daima....
 
Sio kweli huyu kapitia NACTE ambao wana dahiri wenye equivalent qualifications kama diploma angepitia TCU Kusingekuwa na tatizo.
Hata huko wanaweza kuumpa kozi zinazoweza kuumpa sifa za kudahiliwa kwa kozi ya shahada. Hebu vijana changamkieni fursa acheni kukariri kwenda chuo kikuu mpaka kidato cha sita. Vipo vyuo mbalimbali vipo NACTE huinua watu kwa muda wa miaka mitatu unakuwa na sifa ya kuchukuw shahada Mfano astashahada miezi 9, stashahada miezi 18 na mwanafunzi anatoka akiwa ni mtaalamu anaweza kuajirika na kupewa kazi za kitaalam tofauti na aliyetoka kidato cha sita kwani yeye si mtaalamu.
 
UOTE="iparamasa, post: 16388053, member: 182593"]Wana UDOM popote mlipo....endeleeni kusali na kuomba Dua kwa mwenyezi mungu....haina shaka hatachelewa kujibu na kuupiga kwa mapigo makuu utawala huu....piga goti mwite bwana wa majeshi ambaye hajawahi kushindwa na hatashindwa daima....[/QUOTE]
Amina
 
Mpendwa Rais Magufuli ni kweli MWANAO alikuwa na DIV IV na yuko UDOM?
Kama kweli wewe ni mzalendo naye kamnyofoe huko!! otherwise utakuwa wa rangi mbilimbili!! hope utasoma ama wasaidizi wako wtakwambi kuwa matokeo yako JF
Division 4 akiwa anasoma katika shule nzuri kabisa ya private,je angekuwa anasoma kwenye mikangafuuu? Ya kayumba?
 
Huu Uzi sidhani kama Magufuli atauvumilia, majibu tutapata baada ya siku chache tu
 
Jamani hivi kwa wastani ukurasa mmoja wa Jf unabeba comment ngapi?.Kamua kamua baba kamua twende.....Ndo ajue sasa kwamba kizazi hiki sio vilaza kama anavyofikiria yeye
 
Hata huko wanaweza kuumpa kozi zinazoweza kuumpa sifa za kudahiliwa kwa kozi ya shahada. Hebu vijana changamkieni fursa acheni kukariri kwenda chuo kikuu mpaka kidato cha sita. Vipo vyuo mbalimbali vipo NACTE huinua watu kwa muda wa miaka mitatu unakuwa na sifa ya kuchukuw shahada Mfano astashahada miezi 9, stashahada miezi 18 na mwanafunzi anatoka akiwa ni mtaalamu anaweza kuajirika na kupewa kazi za kitaalam tofauti na aliyetoka kidato cha sita kwani yeye si mtaalamu.
Sikatai mawazo yako lakini huyu kasoma miaka miwili tu yaani miezi 24 tu kaenda chuo Ebu niambie maajabu yaliyotumika ayatumie kilaza wangu.
 
Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.Napendekeza mleta uzi apewe tunzo ya mwana JF bora kwa nusu mwaka huu wa 2016.
 
Back
Top Bottom