iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Wengine waliuziwa nyumbaaaaaDuh ata kaka yake anafanya kazi wizara ya ujenz kimiujiza.....nashangazwa sana
Wengine waliuziwa nyumbaaaaaDuh ata kaka yake anafanya kazi wizara ya ujenz kimiujiza.....nashangazwa sana
Inatosha maana hapa kisaikolojia huyo Jesca atakuwa ameathirika sana.
baraza la mitihani acheni upumbavu wenu wa kuanika private info hadharani
Hata akitolewa, swali ni kwamba alifikaje?? Si kuna mtoto wa maskini aliyefaulu vizuri lakini alinyimwa hiyo nafasi na kupewa huyo binti.. Na hata akiondolewa, atapelekwa nje na huko atasoma na atarudi kupewa Ubunge wa viti maalumu au kazi nzuri tu pale BOT...Hapo ndipo ujue CHEO na PESA vinanunua kila kitu.Nina uhakika leo huyo binti hayuko UDOM kaisha ondolewa kwa kigezo cha kukosa qualification ili kumsafisha prezida.
Lakini ataweza kuliongelea la binti yake kwa uwazi kama anavyoongelea kwa watoto wetu wa kajamba nani??
We unaitafuta Jela .Inabidi mtu aliyesoma kiaina aina tumuite jesika....jipu liko sebuleniiiiiiiii
Kwa lipiiiiiiWe unaitafuta Jela .
Hahahah [emoji23] [emoji23] jesikaaaaaaInabidi mtu aliyesoma kiaina aina tumuite jesika....jipu liko sebuleniiiiiiiii
Kama ni kipigo...basi anayepigwa yuko nyan'ganya'ga mfupa umekuwa kama nyama
Mi nadhani hili ndo la msingi zaidi! Mi kuna dogo alipata Pt 28; hadi Ualimu alikosa! Kumbe kuna namna afu' watu wanashindwa ku-share maujanja!Jesca hebu wafundishe mbinu wale waliotimuliwa ili wawe ulipo
Hata akitolewa, swali ni kwamba alifikaje?? Si kuna mtoto wa maskini aliyefaulu vizuri lakini alinyimwa hiyo nafasi na kupewa huyo binti.. Na hata akiondolewa, atapelekwa nje na huko atasoma na atarudi kupewa Ubunge wa viti maalumu au kazi nzuri tu pale BOT...
Nilikuwa nina imani nae lakini kumbe hapiganii misingi ila kuna ambacho anakipigania..
Mi nadhani hili ndo la msingi zaidi! Mi kuna dogo alipata Pt 28; hadi Ualimu alikosa! Kumbe kuna namna afu' watu wanashindwa ku-share maujanja!