iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Kweli....tuulizie ulizie na watoto wake wengineaanzie nyumban kutumbua, msumeno ukate kuwilikuwili
Kweli....tuulizie ulizie na watoto wake wengineaanzie nyumban kutumbua, msumeno ukate kuwilikuwili
UwiiiiUwiiiiiiiiiUwiiiiUwiiiiiiiiii mwanafunzi wa mwendokasiiiwanamuita mwanafunzi wa mwendokasi
Mkuu huu Uzi ni wa Mwaka 2012Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.Napendekeza mleta uzi apewe tunzo ya mwana JF bora kwa nusu mwaka huu wa 2016.
Kwahiyo na yeye ni kilaza ?
Hiyo "academic privacy" ni creation yako mukichwa. Hakuna kitu kama hicho ulimwenguni pote.Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Kuna mwingine ameshatajwa humu anaitwa Joseph naye nasikia ni kilaza square lakini amebebwa sasa hivi anafanya kazi wizara ya ujenzi.Kweli....tuulizie ulizie na watoto wake wengine
Ana mwendokasi kama yale mabasiJesca kawa maarufu sana
Astaghfirullah! Maelezo yako yanaashiria one of the two explains all but mnh; mbona yote naogopa kuyasema!Wanasaikolojia wanasema watoto wa kike hurithi IQ za baba yao na wakiume hurithi sehemu kubwa ya IQ za mama zao! This is scientifically proven, googke km ukitaka_! Sasa sijui hili linamaanisha nini!
Kumbe huo mkahawa ni wa JPM? Wana supu safi ya samaki.Sawa kabisa, hivi unafikiri baba yake akimwachia asimamie ile hotel pembeni ya barabara pale Chato atakuwa amekosa nini?
Sidhani,ina maana mwaka 2012 huyo kihiyo alikuwa ameshaingia UDOM wakat hayo matokeo ya form four ni 2011?Mkuu huu Uzi ni
Mkuu huu Uzi ni wa Mwaka 2012
Mh.Ndalichak kazi kwako jipu la kutumbua .View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
NECTA CSEE 2011
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.
Soma kule juu unakoanzia,inaonekana mleta Uzi anamjua vizuriSidhani,ina maana mwaka 2012 huyo kihiyo alikuwa ameshaingia UDOM wakat hayo matokeo ya form four ni 2011?
Nielekeze liko "row" ya ngapi kwenye hiyo excelAngalia vizuri jina lake limo.
....mwenzio kapiga mbizi yuko UDOM wewe umebaki umeikalia tu politickwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
hahaha...na huyo aliemdahili hapo UDOM nae atumbuliweHAKUNA NAMNA MAGUFULI AKALITOE LI KILAZA LAKE PALE UDOM HAYA NDO YANAYOTUHARIBIA NCHI