Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Watu wengi wanaosifika kwa hotuba nzuri inasemekana sio kwamba wako smart kihivyo bali ni timings za ushirikiano wa mdomo na ubongo. Mimi natoa mchango japo sio mkubwa katika jamii yangu lakini sikuwahi kujijua kuwa ni kilaza!
 
Huyo mzee mamvi ndiye aliyekua waziri mkuu wakati hii program inaanza, nenda mwanahalisi utakuta kubenea humo kamchana kabisa na kaweka maelezo yote. Pili jesca kamaliza 2010 ndo mana hayo ni matokeo ya 2011, swali kuanzia 2011 mpka 2014 alikua wapi? Jibuni hili swali kama mnaweza
Hujui hata unaongea nini wewe zaidi ya kujikanganya, hili jamvi ni la watu wazima wewe umekuja kufanyaje hapa?
 
Si ndo maana bodi ya TCU imevunjwa na mabosi wake kufutwa kazi, muwe mnafuatilia matukio kujua ishu nzima. Acheni serikali ifanye kazi wekeni siasa pembeni. Mmeishaambiwa wenye sifa watarudishwa chuoni
Hahaha...wewe nae kilaza...umeambiwa ile special program ilikuwa under tcu??

Kwa taarifa yako iko chini ya nacte...waivunje na nacte sasa.
 
MASWALI "FIKIRISHI" vs MASWALI "CHOKONOZI.!"

By Malisa GJ,

Rafiki yangu Comrade Rashid Chilumba kaniuliza maswali yaliyonitoa jasho kidogo. Maswali ya kufikirisha.

Katika kuchangia hoja ya binti anayedhaniwa kuwa ni mtoto wa Rais Magufuli aitwae "Jesca John Magufuli" Comrade Chilumba ameniuliza maswali kadhaa na kunitaka niweke ushahidi (Evidence) wakati nikijibu maswal hayo.

Sehemu ya maswal hayo Chilumba anauliza, Je huyo binti anayetajwa kwa jina la Jesca Magufuli ni mtoto wa Rais Magufuli kweli au ni mfanano wa majina? Kuna ushahidi wowote kuwa Magufuli ana mtoto aitwae Jesca? Kama yupo, je ana uhusiano na Jesca anayetajwa kusoma St.Mathew's?

Anahoji Chilumba na kuendelea; Je Jesca aliyedahiliwa UDOM na yule wa St.Mathew's ni mtu mmoja? Je hayo matokeo yanayodaiwa kuwa ni ya Jesca sio editing? Kwanini picha ya matokeo inayotembea mtandaoni ni moja tu?

Nimeyapenda maswali haya ya Chilumba kwa sababu yamenifanya "nifikirie sana" na mimi napenda kufikiria (Thinking is my hobby).

Maswali ya Chilumba yana mantiki sana kwa sababu jibu lolote kati ya maswali hayo linaweza kubadilisha mijadala yote inayoendelea mitandaoni kuhusu Jesca.

Kwa mfano swali la kwanza la Chilumba majibu yake yakiwa ni HAPANA basi yote tunayojadili huku mtandaoni ni bure. Yani kama Magufuli hana mtoto aitwae Jesca basi tunapoteza muda kujadili mambo ambayo ni "dhahania"

Na ikiwa jibu la kwanza litakua HAPANA basi hata hayo maswali mengine yaliyobaki yanakuwa hayana maana (yanakufa naturally). Huo ndio utamu wa critical thinking.

Kwa hiyo nimpongeze Comrade Chilumba kwa maswali haya mazuri ambayo yamedhihirisha kwamba alikua hasinzii kwenye vipindi vya Critical Thinking vya mwalimu wake Crispin Isaboke.

#MAJIBU
Nimefanya utafiti kidogo na kupata majibu ya maswali ya ndugu Chilumba. Nami napenda kuyajibu kama ifuatavyo kwa kuambatanisha na evidence kama alivyohitaji;

1. #SwaliLaKwanza
Je Rais Magufuli ana mtoto aitwae Jesca John Magufuli?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli ni mtoto wa kuzaliwa wa Mhe.Rais John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli. Rais Magufuli ana watoto 7. Watatu wa kiume na wanne wa kike.

#Evidence
Katika orodha ya kuzaliwa Jesca ni mtoto wa 4. Watoto wengine wa Rais Magufuli ni kama ifuatavyo;

1. Suzzan John Magufuli
2. Edna John Magufuli
3. Joseph John Magufuli
4. Jesca John Magufuli
5. Lucy John Magufuli
6. Jurgen John Magufuli
7. Jerry John Magufuli

#EvidenceNunber2
Tembelea anuani hii ya Ikulu kufahamu zaidi juu ya familia ya Rais Magufuli na familia yake, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

2. #SwaliLaPili
Je Jesca ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew kwa kipindi tajwa?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew na kuhitimu kidato cha 4 mwaka 2011.

#Evidence,
Mkurugenzi wa shule hiyo Bw.Thadeo Mutembei anaweza kudhibitisha hilo. Unaweza kumpigia kupitia simu yake nambari 0754 698845.

3. #SwaliLaTatu
Je, Jesca Magufuli aliyepata division four ya alama 30 ndiye huyo mtoto wa Rais Magufuli? (Au ni mwingine).

#JIBU
Ndiye huyo.

#Evidence;
Hakukuwa na Jesca Magufuli wawili katika sekondari ya St.Mathew.

4. #SwaliLaNne
Je matokeo yanayosambazwa mitandaoni kwamba ni ya Jesca ni matokeo halisi au ni photoshop?

#JIBU
Ni matokeo halisi, hakuna photoshop wala editing.

#Evidence
ingia kwenye website hii utaona matokeo yote ya sekondari ya St.Mathew's kwa mwaka 2012 na utaona jina la Jesca katika orodha hiyo. Nambari yake ya mtihani ilikua S.1071/102 http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm

#SwaliLaTano
Je ni kweli kuna mtu aitwae Jesca Magufuli alidahiliwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014 kusomea shahada (degree) ya biashara ktk Rasilimali watu?? (Bachelor of Commerce in Hunan Resource Management).??

#JIBU
Ndio. Mwaka 2014 miongoni mwa wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na Cho Kikuu cha Dodoma ni binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Jesca John Magufuli.

#Evidence
Ingia kwenye website hii kisha tafuta Admisdion number 230. Pitia hapa http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM

6. #SwaliLaSita
Je, Jesca Magufuli aliyedahiliwa UDOM mwaka 2014 ndio yule Jesca aliyemaliza St.Mathew's mwaka 2011 ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli.

#JIBU
Ndiyo. Jesca anayesoma UDOM ndiye Jesca yuleyule aliyemaliza kidato cha 4 mwaka 2011 sekondari ya St.Mathew ambaye pia ni mtoto wa Rais Magufuli.

#Evidence
Unaweza kumpigia Mkuu wa Chuo cha UDOM Prof.Idrisa Kikula kudhibitisha kama kweli Jesca Magufuli aliyepo chuoni hapo ndiye yule binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli. Namba ya Prof.Kikula ni 078 455 5655.

#HITIMISHO
Comrade Chilumba nafikiri nimekujibu maswali yako yote kama ulivyoniuliza. Na nimejitahidi kukupa evidence kama ulivyonitaka kufanya hivyo.

Sasa nakuomba na wewe unisaidie vimaswali vyangu vidogo kama ifuatavyo;

1. Hivi ilikuaje Jesca akasoma degree wakati alipata Division four ya point 30?

2. Je ana foundation course yoyote labda Diploma? Kama anayo amesomea chuo gani? Na aliwezaje kupata diloma ndani ya miaka miwili? Ina maana hakusoma certificate?

3. Na ilikuaje Udahili wake wa UDOM ukapitia NACTE wakati muongozo wa NACTE wa mwaka 2005 unazuia vyuo vilivyopo chini yake kudahili wanafunzi wenye alama chini ya 28?? Yeye ana 30 alidahiliwaje?

4. Amewezaje kusoma Bachelor of Commerce wakati somo la Commerce alipata "F" kidato cha 4??

5. Kwanini Serikali ilipotimua wale "Vilaza" (Form four failures) waliokua wamejazana vyuo mbalimnali kikiwemo St.Joseph, mbona hawakushughulika na Jesca? Je yeye ana "immunity??"

6. Je kauli ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa JPM kwamba kuna watoto wa vigogo waliofeli form four wamejazana vyuo vikuu na kuziba nafasi kwa watoto wa maskini wenye sifa na vigezo, je haimlengi Jesca? Hasa ukizingatia kuwa yeye ndiye mtoto wa kigogo mkubwa zaidi nchini? (Mtoto wa Mheshimiwa zaidi). Kama haimlengi Jesca ilikua inalenga akina nani?

Tafadhali Comrade nisaidie majibu ya viswali vyangu hivyo hapo juu. Naamini viswali vyangu hivi sio vigumu kama maswali yako ya Critical Thinking.

Wasalaam,

Malisa Godlisten E.J
Respect Bro Malisa Godlisten E.J.
Kila kitu hapo umekiweka wazi, maana yake ni kuwa watu wajue kuwa nasi tunafahamu, na kwa sababu tunafahamu, basi HAKI ITENDEKE. jesca must also be expelled. NO WAY.
Vinginevyo wanharakati waingilie kati suala hili ili haki itendeke. Maskini na wasio na nyadhifa wanonewa sana.
JUSTICE MUST NOT ONLY BE DONE BUT MUST ALSO SEEN TO BE DONE.
 
Sina hakika kama mzazi wako wewe unaweza ukafanya hivyo kama unavyomfanyia Rais...Kama hufahamu Rais ni Head of state na ndiye kichwa cha Taifa, ni 'baba' yetu sote...Sasa nyie mnamfanya kama ni mtu wa kawaida wa kumchezea mtakavyo, sijui kama baba yako mzazi unaweza kumchezea utakavyo...Kumfananisha Rais na Mungu huko ni kwenda mbali na ni uthibitisho wa wazi kuhusu upeo wako wa kiwango cha chini kabisa kuhusu utambuzi wa issues mbalimbali...
Acha umbumbumbu wewe, kwani hukujua aliowaita vilaza pia wanahitaji staha pia, acha kujikomba kipuuzi hata hakujui utadhalilika bure humu
 
Huyo mzee mamvi ndiye aliyekua waziri mkuu wakati hii program inaanza, nenda mwanahalisi utakuta kubenea humo kamchana kabisa na kaweka maelezo yote. Pili jesca kamaliza 2010 ndo mana hayo ni matokeo ya 2011, swali kuanzia 2011 mpka 2014 alikua wapi? Jibuni hili swali kama mnaweza
Ficha upumbavu wako,sio kila kitu kinafaa kupotoshwa.
 
Ewe uzi aka thread, nakuamuru kwa jina lake yeye aitwaye yeye, fikisha page 100 and beyond uvunje rekodi! Mh Pombe na Lumumba mnalo!
 
Hivi nyie mnafikiri mkiweka hivi viingereza koko ndio inawaondolea upumbavu? Yaani upumbavu kwako ni karama toka kwa mungu.
Kutokana na upungufu wa wanafunzi wa kidato cha sita kujaza vyuo vikuu vyetu, ulibuniwa mpango wa kuwaendeleza wanafunzi wa kidato cha nne ili waweze kuwa na sifa ya kudahiliwa chuo kikuu. Hivyo baadhi ya vyuo vimetekeleza mpango huo ikiwamo UDOM. Kwakuwa chuo hicho hicho ndicho kitakacho wadahili, hupanga ratiba ya masomo kwa kadiri ya kufikia muda wa kudahiliwa kwa shahada. Kama unandugu yako kashindwa kupata matokeo mazuri ya kuendelea na kidato cha sita tumia hiyo fursa.
unatoka nje ya mada sisi tunataka jibu la hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
 
Jamani nina kamradi ka t-shirt kana nembo (logo) ya VILAZA KATIKA UBORA WETU.

naomba mniunge mkono. Mzigo utakuwa mtaani kuanzia wiki ijayo kwa Dar.
 
Kama kweli mwanae anasoma chuo cha umma basi ni jambo la kujivunia sana, angeweza kumpeleka canada kusoma.
 
Ficha upumbavu wako,sio kila kitu kinafaa kupotoshwa.
Hebu elezea upotoshaji wangu, wewe ndo mpumbavu namba moja, niletee matokeo ya 2012 st mathew kama utamkuta jesca, hata kufikiria hamuwezi nyumbu wee
 
Kuteleza. Kufeli ni "Failed".

unazani = unadhani (kama ni mtihani wa Kiswahili hapo umekosa marks 10).
Dada Faiza huwa unanikumbusha kifimbo cheza wa gazeti la sani. Akikuta watoto wanaongea kiswahili kisichoeleweka anawachapa fimbo.
 
4d5dbd28cda992dfe18a12d8919137f6.jpg
Hebu elezea upotoshaji wangu, wewe ndo mpumbavu namba moja, niletee matokeo ya 2012 st mathew kama utamkuta jesca, hata kufikiria hamuwezi nyumbu wee
matokeo ya 2011 yaliotoka mwaka 2012 mwezi wa pili
Hebu elezea upotoshaji wangu, wewe ndo mpumbavu namba moja, niletee matokeo ya 2012 st mathew kama utamkuta jesca, hata kufikiria hamuwezi nyumbu wee
 
Double standard
Hii double standard ya Magufuli na kuigiza eti ana uchungu na masikini mbona tuliishtukis muda? Ndivyo alivyokaririshwa na wapanga mikakati wa kampeni. Sasa kasahau kwamba kampen zimeisha sasa tupo kwenye uhaludia wa maisha.
Ni full Maigizo. Mbona la Lugumu limekuwa humu kulushughuoikia? Eti anajificha kwenye kichaka cha ksmati ya bunge! Mbona mengine hayasubiri kamati?
 
Kuingiza siasa kwenye masuala ya kitaalam ni shida.....mpaka sasa suala hili limewachafua wanafunzi wa UDOM waliomo na wasiomo....imeshusha hadhi ya chuo kwenye jumuiya ya kimataifa na kwa wazazi pia hata waajiri watarajiwa,lingetatuliwa kwa kuunda kamati ya wataalam wa kuangalia uhalali wa ufaulu wa wanafunzi,wenye shida wakatolewa wa halali wakabaki,
Kwa kweli Udom imechafka na inaonekana sehemu ya vilaza na ubaya hichi Chuo kiliweka siasa mbele zaidi ya taaluma ndo mana kinatumika na wanasiasa wasio na degree wanaenda Hapo Udom ifike vyuo viwe huru sio kutumika tu. Magufuli alimuulza kikula kwanini aliruhusu hyo hali ya wasio na sifa profesa akamjibu alilazimishwa. Ka mzazi bora kutompeleka mtoto Chuo kilichochafuka
 
Hiki kiingereza chako hakikunasui kutoka katika lindi la upumbvu. Hiyo hoja nimeidadavua vizuri sana na mifugo yote ya Mbowe imenielewa vizuri sana. Sasa wanapojitoa akili hayo ndiyo majibu wanayo stahili.
Mpumbavu wewe unayetunga swali badala ya kujibu swali uliloulizwa. It will take only a fool to do what you have done and instead of admitting defeat you are using vulgar language. Hopeless.
 
Kama hufahamu Rais ni Head of state na ndiye kichwa cha Taifa, ni 'baba' yetu sote...Sasa nyie mnamfanya kama ni mtu wa kawaida wa kumchezea mtakavyo, sijui kama baba yako mzazi unaweza kumchezea utakavyo...Kumfananisha Rais na Mungu huko ni kwenda mbali na ni uthibitisho wa wazi kuhusu upeo wako wa kiwango cha chini kabisa kuhusu utambuzi wa issues mbalimbali...

bila shaka we ndo jesca, kama div iv ni ukilaza basi iwe hivyo kwa watu wote. tatizo kuu unaona yule ni mungu wako!
 
Back
Top Bottom