justus ndyanabo
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 444
- 379
Ha ha Ba Jasca ni nomaaaa!!!!
Jesika atolewe na wale wa UDOM ambao wako kihalali ila wakafanyiwa figisu za kisiasa warudiIparamasa na Wambandwa.
Kuna vitu viwili ambavyo ningependa kuviongelea kimoja Kama Jesca haja fikia vigezo Kama wale 7000, basi mamlaka husika wamtoe hapo chuoni na pili tukumbushane kurudi kwenye mstari na ni kufuata vigezo yaani standards , tunapofanya mambo yetu , hivi vitu Ndio vitatu Toa ktk hii thread isiyoisha na inayotutoa kwenye mada muhimu zaidi mfano Lugumi na EPA, escrow , mere meta , tax evasion, money laundering , productivity ,uchafu katika makazi yetu , barabara za makazi yetu na kuendelea.
Mambo mengine katika thread hii ni vikorombwezo au tunaita side show.
Nimesoma comments kadhaa nikaona nirudi kujibu hoja hizi...Iparamasa na Wambandwa.
Kuna vitu viwili ambavyo ningependa kuviongelea kimoja Kama Jesca haja fikia vigezo Kama wale 7000, basi mamlaka husika wamtoe hapo chuoni na pili tukumbushane kurudi kwenye mstari na ni kufuata vigezo yaani standards , tunapofanya mambo yetu , hivi vitu Ndio vitatu Toa ktk hii thread isiyoisha na inayotutoa kwenye mada muhimu zaidi mfano Lugumi na EPA, escrow , mere meta , tax evasion, money laundering , productivity ,uchafu katika makazi yetu , barabara za makazi yetu na kuendelea.
Mambo mengine katika thread hii ni vikorombwezo au tunaita side show.
Nimesoma comments kadhaa nikaona nirudi kujibu hoja hizi...
Mosi: Jessica sio miongoni mwa wale wa program maalumu ya Ualimu bali ni mwanafunzi anayesomea degree hivyo kwa muda wa miaka miwili ameweza vipi kujisafisha na kudahiliwa???
Pili: wale wanafunzi wa program maalumu sio kweli kwamba hawakuwa na vigezo hapo ndio wengi mnachanganya, wale wanafunzi walikuwa wanasoma diploma kwa miaka mitatu na sio degree kama wengi mnavyopotosha. Ni halali kabisa ukiwa na ufaulu mzuri basi unasoma certificate 1year kisha diploma 2years hivyo jumla 3years jambo ambalo ni sahihi kabisa hata vyuo vya afya wanatumia mfumo wa miaka mitatu...wanafunzi waliochaguliwa program ile walikuwa na ufaulu mkubwa wa A na B katika masomo ya science na walikuwa wenye division 1 hadi 3, je hao ni vilaza??? Hapana...
Ifike mahali muweze kutofautisha issue ya Jessica kudahiliwa degree na wanafunzi wa program maalumu UDOM
mkiweza kuja kwenye mstari basi issue ya wanafunzi wa program maalumu utaiacha pembeni na kujadili mada husika Jessica amefika vipi chuo kikuu ndani ya miaka miwili??? Sote tunatambua mfumo na mtaala wa elimu ya nchi yetu, hivyo tujadili kwa hoja madhubuti
Jesika awe uprooted sasa...sio unajaza ugoro wako humu wTuanapoteza muda kujadili vitu visivyokuwa na maana. Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa imeingiliwa na Mdudu Dili.Nampogeza Rais na waziri wake kutuondoa huko kwenye uchafu. Watu fake walikuwa wanazalishwa kila siku. Reference ya mtu haisaidii. All we want is to uproot this cancer. Haiwezekani tukawa na wahitimu wa makaratasi, ambao hawana sifa kwa jamii. Useless people.
Picha tunaiona kwenye matusi. Ukiona mtu anatukana kama makuli wa zamani kule Bandalini ujue huyo mtu hawezi kuhimili hoja za tafakuli.
Well said Mr, kuondoa elimu ya makaratasi ...kauli nzuri sana hiyo na turudi kwenye mstari je sio halali kwa mwanafunzi aliyemaliza form four na ufaulu wake akaenda kusoma certificate mwaka mmoja kisha diploma miaka miwili jumla ikawa miaka mitatu??? Ni mfumo ulio wazi kabisa na vyuo vingi sana wanatumia mfumo huo kama DIT, MIST n.k ambapo wanafunzi wanaojaza form wanaruhusiwa kuchagua vyuo vya ufundi, na kipindi nasoma nilipoingia A'level kulikuwa na baadhi ya rafiki zangu waliochaguliwa college diploma for three years even health institutes wanachukua three years means 1 year + 2 years total 3 years, Sasa hapo utasema vipi wale wanafunzi waliokuwa UDOM wakisoma diploma hawakuwa na vigezo?! Hujioni mpaka kuwaza hivyo utakuwa na itilafu kidogo ya ubongo?? Okay kama unavyojinasibu mkulu anafanya kazi nzuri kusafisha nchi (i don't believe) kwanini asianze kusafisha kwa mwanae ambae amehujumu system ya elimu ya juu kuingia degree???Tuanapoteza muda kujadili vitu visivyokuwa na maana. Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa imeingiliwa na Mdudu Dili.Nampogeza Rais na waziri wake kutuondoa huko kwenye uchafu. Watu fake walikuwa wanazalishwa kila siku. Reference ya mtu haisaidii. All we want is to uproot this cancer. Haiwezekani tukawa na wahitimu wa makaratasi, ambao hawana sifa kwa jamii. Useless people.
Picha tunaiona kwenye matusi. Ukiona mtu anatukana kama makuli wa zamani kule Bandalini ujue huyo mtu hawezi kuhimili hoja za tafakuli.
afrika hamna over 18.Unajua kuna mtoto anaweza kuwa an out cast , baba au wazazi wasi take kujua mambo ya mtoto kutokana na tabia yake na pia kuna wazazi ambao Wanapenda kutokujua mambo ya watoto ili asijiumize kichwa na kumpa changamoto ya mtoto kuwa self reliant na kujua kwamba akifanya vitu vinavyo kwenda kinyume , basi kuna matatizo utapata. Na infact ikishakuwa over 18 mfano police hawaruhusiwe kutoa taarifa zako kwa wazazi wako mpaka wewe mwenyewe uridhie. Au mpaka hapo mashtaka yakoyanapokuwa ni ya wazi .
Hivyo vingine vilishagonga mwamba na kwa vile hili limeibuka ghafla, watu walikuwa hawajajipanga. Hiki kitu usikiunderestimate, kinatupa picha halisi jinsi elimu ilivyo duni. Amini usiamini kila atakapogusa atakuta anaowaita 'vilaza' wamejazana. Mtanzania hajafeli, ni system ndiyo iliyofeli.Iparamasa na Wambandwa.
Kuna vitu viwili ambavyo ningependa kuviongelea kimoja Kama Jesca haja fikia vigezo Kama wale 7000, basi mamlaka husika wamtoe hapo chuoni na pili tukumbushane kurudi kwenye mstari na ni kufuata vigezo yaani standards , tunapofanya mambo yetu , hivi vitu Ndio vitatu Toa ktk hii thread isiyoisha na inayotutoa kwenye mada muhimu zaidi mfano Lugumi na EPA, escrow , mere meta , tax evasion, money laundering , productivity ,uchafu katika makazi yetu , barabara za makazi yetu na kuendelea.
Mambo mengine katika thread hii ni vikorombwezo au tunaita side show.
Naona mnataka kubadilisha dhumuni la huu uzi, tunachohitaji ni jibu la hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu? halafu nyie mnaleta mambo ya Lugumi sijui sukari.
Wanafunzi zaidi ya 400 wamefukuzwa chuo kwa kashfa kubwa kwa wanafunzi hao, wazazi wao na chuo chao. Hapa hawakutajwa majina lakini bila shaka kwenye communities zao wanadharaulika wao na hata wazazi wao waliokuwa wanatambia 'usomi' wa watoto wao. Kweli hiki kitu ni maumivu.Tuanapoteza muda kujadili vitu visivyokuwa na maana. Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa imeingiliwa na Mdudu Dili.Nampogeza Rais na waziri wake kutuondoa huko kwenye uchafu. Watu fake walikuwa wanazalishwa kila siku. Reference ya mtu haisaidii. All we want is to uproot this cancer. Haiwezekani tukawa na wahitimu wa makaratasi, ambao hawana sifa kwa jamii. Useless people.
Picha tunaiona kwenye matusi. Ukiona mtu anatukana kama makuli wa zamani kule Bandalini ujue huyo mtu hawezi kuhimili hoja za tafakuli.
Lumumba wajibu nini walikuja spidi kujaribu kuzima hili kumbe ndio wakawa wanachochea zaidi wakawa wanaondoka mmoja mpaka sasa wamepoteana na nasikia Dau lilipanda kuzima moto huu lakini wameshindwa.Lu-mimba wako kimya kama watoto wanaoshwa kwenye beseni
Hahahaaaaaa ni kweli kabisalakini huyo si alijiaanda kwa miaka minne..hawezi kuwa ameteleza..uwezo wake kiakili ni mdogo..mifano hiko wazi kutoka kwa baba.
Hii nchi ya ajabu sana....mpaka sasa bajeti ya nchi imewasilishwa karibia nusu....tunachojivunia ni bomba la mafuta toka Uganda ambalo hatuambiwi tutafaidi nini! Hakuna mpango wowote wa kimaendeleo hotuba za bajeti ni kukopi na kupesti