Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hv jamani picha ya Jesca bado haijapatikana tu...au imenipita...???chonde chonde...jamani tumuone Jesca wetu.
 
Hivi mtu akiwa private candidate Form IV anapitia NACTE au TCU ?
 
Kuna Njia ambayo anaweza Kuwa kapitia huyu Mrembo ila napata shaka kama Ana uwezo Huo kweli .
 
Leo hii ikiwa ni siku ya 3 sijaona chombo chochote cha habari kilichojaribu kufanya utafiti/uchunguzi juu ya udahili wa mwanafunzi Jesca John Magufuli katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).

Nilitaraji/natarajia waandishi wataenda mbali zaidi kwa kuwahoji wote au baadhi ya watu wafuatao:

1.Mwanafunzi Jesca John Magufuli
2.Mzazi/Mlezi wa Jesca Magufuli
3.Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM au Afisa yeyote anaehusika
4.Mkuu wa shule ya St.Mathew alikosoma binti wa Magufuli
5.Uongozi wa TCU(hawa huenda hawahusiki sana)
6.Viongozi wa NACTE

Waandishi ni wajibu wenu kutuletea developing story juu ya jambo hili hasa katika kipindi hiki ambacho serikali hii ya awamu ya tano inaonekana kulvalia njuga swala la ubora wa elimu.

Nimeangalia magazeti karibu yote ya jana na hata ya leo sijaona habari imeandikwa popote pale wakati ni jambo ambalo limezua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.
Hii Tanzania yetu ni
Kuwafukuza wale wanafunzi Magufuli amelisababishia taifa hasara maana wanafunzi wale walikuwa wanatumia pesa za umma kulipiwa gharama zote za masomo sasa pesa hizo atazilipa nani? Hivi kuna tatizo gani mwanafunzi wa form 4 kusoma diploma kwa miaka 3, hata kama wasingelipelekwa sekondari wangepelekwa hata shule za msingi ili warejeshe deni letu na kusaidia kuwajengea msingi mzuri wa masomo ya sayansi watoto wetu.
Kama habari zinazotuijia ni za kweli basi Rais atakuwa hajawatendea haki hawa vijana. Diploma za miaka 3 ya Ualimu hazikuanza leo. Mkwawa kilikuwa Chuo cha Ualimu ambacho kilikuwa kinachukua wanafunzi kwa mtindo huu wa UDOM. Inawezekana kabisa Rais alikuwa mmoja wa hizo program. Walikuwa wanafanya form five na six then diploma 1 year. Ndiyo maana nafikiri alipotoka Mkwawa alikwenda kufundisha moja kwa moja kabla ya kwenda Chuo!!!!
 
nchi kwa sasa haina mwelekeo...ndio athar za kumkabidhi mwendawazimu nchi..
 
Baada ya kumpa kisa hiki mzee wangu ambaye ni mwalimu mstaafu,aliniuliza hivi hao watoto kama hawana sifa za kufundisha sekondari,je wangemalizia huo mwaka wa tatu wangekosa sifa za kufundisha primary?nikamjibu waalim wa sayansi primary wametosha.
Mzee wako yuko sahihi. Upungufu wa walimu wazuri wa masomo hayo primary uko.

Mpe salamu mzee wako na mwambie tuna appreciate busara zake.
 
Hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa hapa, uzi mrefu kilichojadiliwa eti mtoto kupata div 4. Kwani yeye ndiyo wa kwanza au hao wengine ndio wa kwanza. Acheni mambo hayo nchi ina mambo mengi ya kujadili. Siyo maswala ya kilaza au Div 4. Kwani wate waliofanikiwa katika maisha wana Div 1....?
Polifix is a poison
Ndo maana Bongoland hatuendelei
 
View attachment 353228

St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F


============

View attachment 353229
NECTA CSEE 2011

Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.

======
Du, hii nimpya. Pombe kupiga kelele zote zile kumbe naye yumo kati ya wale aliowaita watoto wa wakubwa kuingia UDOM.

Mmmmmmm, wanasiasa ni waongo kweli kweli. Naye Jesika aondoke.

Kumbe Magufuli ana ushahidi wa kusemakuwa ni Tanzania pekee mtu analwenda chuokikuu na Div 4.
 
Back
Top Bottom