Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Ukimuona kobe juu ya mti kapandishwa tu huyo... ukichafuka ushachafuka... hata ununue Dove bado utanuka tu...

Ni sawa na uende chooni ukakuta mtu kanya pembeni ukasema kuchafu wacha nitoke siwezi vimilia and then unapotoka tu anaingia mtu mwingine.... unadhani atajua nani kanya pembeni?
 
Kwa hiyo alidahiliwa baada ya kukata rufaa au kabla, Na kama ni kabla, je matokeo haayo yalibadilishwa kabla yakudahiliwa??
 
Advances huwa wanadahiliwa kupitia NACTE? mbona kwenye Yale majina ya UDOM ameingia Kama EQUIVALENT kwa maana amepitia diploma, ebu muulize Huyo jamaa yako vizuri.
 
Acheni Upumbavu. hivi mnadhani kuwa Huyo Jesca hana Sifa za kumwezesha kufika hapo? muwe mnafanya research ya kutosha ndio mje kuandika huku...
 
1465204331539.jpg
 
Hivi mtu akikata rufaa na kufanikiwa matokeo yake hayabadilishwi kwenye mfumo (system)?
Yanabandikwa actually is veru rare kushinda /kubadilisha. Nimesema very rare basi atakuwa na bahati lakini kwa ufaulu ule hawezi kushinda rufani hiyo ni kutaka kumbeba tu!
 
kinacho angaliwa hapa si kuhusu kuferi au ukilaza wake kama anavyosema baba jeska, ishu ni namna vilaza wa vigogo wavyoweza kujiunga na vyuo au kupata feva kama ilivyotokea kwa The jesca kusjiliwa chuo kikuu na iv ya 30..na si ajabu waliohusika na hili wakabaki salama salimini.


Pengine Jesica na mkopo wa chuo kapewa
 
wadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance
Ya DIV 4.30 matokeo yaliwekwa... na wewe weka ya rufaa
 
Back
Top Bottom