Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Advances huwa wanadahiliwa kupitia NACTE? mbona kwenye Yale majina ya UDOM ameingia Kama EQUIVALENT kwa maana amepitia diploma, ebu muulize Huyo jamaa yako vizuri.
Napendekeza swali hili Likae Juu baada ya uzi
 
Yanabandikwa actually is veru rare kushinda /kubadilisha. Nimesema very rare basi atakuwa na bahati lakini kwa ufaulu ule hawezi kushinda rufani hiyo ni kutaka kumbeba tu!
Tatizo kwa nini wasi 'up-date' matokeo? Kama ni kweli alishinda rufaa yake Kwa nini yabaki yabaki hivyohivyo kwenye system? Sote twajua hayo matokeo lengo la kuwekwa hadharani/kwenye tovuti ni kuyafanya yaonekane kwa urahisi kwa wadau wanayotaka kuyaona, suala la kujiuliza kwa nini wasiyabadilishe kama alishinda rufaa yake? Au kuna magumashi katika hiyo rufaa?
 
Acheni Upumbavu. hivi mnadhani kuwa Huyo Jesca hana Sifa za kumwezesha kufika hapo? muwe mnafanya research ya kutosha ndio mje kuandika huku...
Eleza namna alivyofika mkuu ukizingatia tangu kuhitimu kidato cha nne na stage aliyopo sasa
 
Km alienda advance ilkuwaje akadahiliwa na NACTE??

Rudi umwambie aliyekutuma ajipange tena. Najua kesho itakuja hoja nyingine ila tumeshajua kila kitu. Hatudanganyiki. Elimu ya mwendokasi hyo.
 
Tatizo kwa nini wasi 'up-date' matokeo? Kama ni kweli alishinda rufaa yake Kwa nini yabaki yabaki hivyohivyo kwenye system? Sote twajua hayo matokeo lengo la kuwekwa hadharani/kwenye tovuti ni kuyafanya yaonekane kwa urahisi kwa wadau wanayotaka kuyaona, suala la kujiuliza kwa nini wasiyabadilishe kama alishinda rufaa yake? Au kuna magumashi katika hiyo rufaa?
Just google utaona 2015 , 2012, 2013 , 2014 rufaa zote zipo humu hakuna alipo mwanetu
 
Hahahaha.....naona maigizo ya tamthiliya yetu pendwa ya ISIDINGO imefika patamu[emoji125] [emoji125]
 
Ameshachafuka na hawezi kusafishika hata kwa hisopo,hii imekuwa aibu kubwa na hata nyie lumumba mhangaike vipi kwa hili suala la baba Jesca kama binadamu ameumia sana.
 
Ukimuona kobe juu ya mti kapandishwa tu huyo... ukichafuka ushachafuka... hata ununue Dove bado utanuka tu...

Ni sawa na uende chooni ukakuta mtu kanya pembeni ukasema kuchafu wacha nitoke siwezi vimilia and then unapotoka tu anaingia mtu mwingine.... unadhani atajua nani kanya pembeni?
Hata huyu aliyekuja akikuta kinyesi kikavu? Bado atakutaja wewe uliyepishana naye?
 
wadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance
We utakuwa Simba damu....Au Arsenal
 
Ni bora aendelee kuchutama kuliko kujaribu kupambana huku akiwa mtupu,kujaribu kuificha aibu hii ya ukilaza wa jesca ni jambo gumu kama ilivyikuwa kwa Jecher kumtangaza Maalim Seif kuwa mshindi wa kiti cha urais.

Hakuna namna,njia ileile aliyoitumia kuwaita watoto wa masikini wa Taifa letu kuwa vilaza,anapaswa kuitumia kumtangaza jeska kuwa ni "kilaza sugu" Maana kama alipatiwa kila nyenzo itumiwayo shuleni,achilia mbali kusoma private school ambako kuna figisufigisu nyingi zifanywazo ili kufaulisha wanafunzi na bado alifeli,hatuna jina jingine la kumuita zaidi ya "kilaza sugu aliyeshindikana"
 
SIFA mbona Jesika anazo sifa za kusoma chuo kikuu,kwani kadri unapopanda juu ndivyo urahisi wa kusoma unakuwa rahisi.Huku juu digri unaiona ikija,foo na siksi ndiyo shughuli ilipo.Wanayepanga sifa ni watu.Wakisema mwenye div1 ndiye mwenye ufaulu mzuri asonge mbele na mwenye div2 kafeli vibaya asiruhusiwe kwenda mbele mtazamo huu inawezekana na ikawa hivyo.Huyu Jes ana sifa aendelee na masomo.
 
nasema kuna watu bado wanajua wapo kipindi cha Nyerere cha yeye peke yake aliweza kuwa na luninga na kujua nini kinatokea duniani...siku hizi mambo kiganjani tu..huruma kwa jesika na baba yake kwa kauli zake za kejeli.....lakini hili lisitusahaulishe ya lugumi na sukari
 
Back
Top Bottom