Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Umeshindwa kwenda kwenye chuo ambacho mwanafunzi wake tunamjadili, ndio utaenda huko nitakacho kutajia. Kwa kuwa unaweza kufikia hiyo mifumo nenda UDOM kaangalie ili ulete matokeo.
Mkuu mbona hutaki kujibu swali..umetoa ufafanuzi nimekwambia sawa nipe mfano wa chuo hapa Tanzania ambacho mihula yake inaanza mda ambao we umesema ili mi nilete data zote hapa za hicho chuo tupige mahesabu mi na wewe ili tuone kama hill jambo ulilolitolea ufafanuzi lingewezekana...umeshindwa...mi nimekwambia just mention chuo tulete data hapa
 
Mbona nimekujibu kama unao huo uwezo anza na chuo anachosoma huyu binti hapo UDOM.
 
wadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance
Ikawaje akapitia NACTE badala ya TCU, sidhani kama upo sahihi,
 
Atakuwa aliingia kwa EQUIVALENT QUALIFICATIONS, Maana Direct Entry Applicants hawa Apply Kupitia NACTE,huwa wana pitia TCU, wale wa equivalents huwa ndiyo wanapitia NACTE,so yawezekana alikuwa na sifa za ziada
 
Sifa zipi hizo?
 
Mbona nimekujibu kama unao huo uwezo anza na chuo anachosoma huyu binti hapo UDOM.
Hahaaah mkuu kibaya zaidi icho chuo unachosema nianze nacho ndo nilichosoma,ok sikujua kama nabishana na mtu ambaye hajui anachobishana kumbe unazungumza vitu vya kukisia ambavyo hata hujui lolote..kuna mdau kakwambia hapo sijui we ka akili zimo kweli sababu hujui chochote
 
wadau kuna jamaa angu yupo necta amenambia mtoto wa magufuli kumbe baada ya matokeo kutoka alikata rufaa na kupata division III hivo kuendelea na advance
Sasa kwanini alipitia NACTE acha kudanganya watu wazima
 
Tatizo kwa nini wasi 'up-date' matokeo? Kama ni kweli alishinda rufaa yake Kwa nini yabaki yabaki hivyohivyo kwenye system? Sote twajua hayo matokeo lengo la kuwekwa hadharani/kwenye tovuti ni kuyafanya yaonekane kwa urahisi kwa wadau wanayotaka kuyaona, suala la kujiuliza kwa nini wasiyabadilishe kama alishinda rufaa yake? Au kuna magumashi katika hiyo rufaa?
Hakuna cha rufani wala nini. Kama alipitia six kwanin adailiwe kupitia NACTE
 
Kwajins mawakili wa baba jessica wanavoongezeka, Kilaza wetu mtukufu JESSICA muda si mrefu atakuwa na div 1 ya form6
Tatizo watatakiwa kujibu swali gumu. Kama alimaliza six iweje adailiwe kupitia NACTE
 
Hahaaah mkuu kibaya zaidi icho chuo unachosema nianze nacho ndo nilichosoma,ok sikujua kama nabishana na mtu ambaye hajui anachobishana kumbe unazungumza vitu vya kukisia ambavyo hata hujui lolote..kuna mdau kakwambia hapo sijui we ka akili zimo kweli sababu hujui chochote
Wewe ndipo uliposoma mwenzio ndipo anaposoma na sasa hivi yupo pale waliomdahili wapo hapo.
Huenda kipindi unasoma walikuwa wanafundisha ujinga. Mtu mzima kukaa ukafikiri taasisi kama hiyo mambo yake yameganda kiasi huna haja hata ya kuuliza eti kwa sababu ulisoma hapo nayo ukaona ni hoja ya kuleta kwa wanaume.
 
Walinipiga ban baada ya kusema ukweli wa Jesica,mpaka sasa jibu halijapatikana.
 
Back
Top Bottom