Feni05
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 290
- 237
vilaza wakubwa wale awawezi kuja kwenye huu uzi.Kiungo lizaboni,faizafoxy,ruttashobolwa na jingalao pumzi imekata wamelala tu uwanjani wakigugumia
vilaza wakubwa wale awawezi kuja kwenye huu uzi.Kiungo lizaboni,faizafoxy,ruttashobolwa na jingalao pumzi imekata wamelala tu uwanjani wakigugumia
Lumumba pamevurugika....nafikiri hata mtoa posho atakuwa kakasirika sanavilaza wakubwa wale awawezi kuja kwenye huu uzi.
Kwanini SISIEMU vilaza wenzake wasiende kuomba muongozo?UKAWA rudini bungeni muombe mwongozo kwa Speaker kuhusu huyo binti wa mkuu, Je, ni halali kwake kuendelea na masomo wakati wenzake wamefukuzwa? Speaker atawajibu vizuri na ataruhusu bunge lijadili, amini nawaambia.
Mzee anajikanyaga kama kafumaniwaDuh!
1. LABDA
2. HAMDHANII
3. INAWEZEKANA
Mkuu hapo kwenye Red S. Siro akiamua kuitafsiri na jeshi lake haki ya nani unalala ndani!! Kumbuka yuke jamaa wa A-town!Mkuu, huyo ni "KILAZA" kama baba yake maana na yeye aliungaunga!! Familia ya "VILAZA" waliotumia rasilimali za wengine wanaostahili kusomeshwa!!
Kama alianza Cheti kwanini sasa hivi yuko mwaka wa pili badala ya wa kwanza na kama alisoma advance ni kwanini alidahiliwa na NACTE badala ya TCU?Suala hapa wanahoji matokeo ya huyu binti au wanahoji kufika kwake Chuo?
jibu ni moja huyu binti ana nafasi kufika chuo kikuu na haki ya kufika chuo kikuu pia, alisoma Certificate akasoma diploma then akaenda chuo ninutaratibu ambao upo kisheria. au yawezekana alirudia kidato cha nne akapata credit akaenda advance then chuo. easy tu
lete ya kwako ya ukweli tuione we kilaza kama jescaHii taarifa ni ya uongo
Kama alianza Cheti kwanini sasa hivi yuko mwaka wa pili badala ya wa kwanza na kama alisoma advance ni kwanini alidahiliwa na NACTE badala ya TCU?
tulia gamba ww sindano ikuingie vizur..hahaa...team buku 7 imepoteana uwanjanHii taarifa ni ya uongo
Hata hii kama ni kweli, ina harufu ya ufisadi. Acha tusikie wengine watakaokuja na utetezi. Lugumi si inashughulikiwa na kamati ya bunge?Kama nawaona vile vijana wa braza Magu wakichekelea jinsi tulivyohamishwa toka kwenye hoja ya Bunge Live, LUGUMI hadi UKAWA kumsusia Naibu Spika na hatimae habari ya mujini hivi sasa kuwa Div IV
Na wale wanafunzi wakiamua kutafsiri?Mkuu hapo kwenye Red S. Siro akiamua kuitafsiri na jeshi lake haki ya nani unalala ndani!! Kumbuka yuke jamaa wa A-town!
Hawezi kushughulikiwa kwani kuna sehemu ametaja jina??? Labda awe mnyonge wambane na ng'uku za polisi aseme alimlenga Mzee, kwani baba ni yeye tu na kilaza ni yeye tu??? Mie narusha madongo kama kawaida wakitaka waje kunibeba ila wajiandae na vitabu vya sheria maana msala unaweza kuwageukiaMkuu hapo kwenye Red S. Siro akiamua kuitafsiri na jeshi lake haki ya nani unalala ndani!! Kumbuka yuke jamaa wa A-town!
Suala hapa wanahoji matokeo ya huyu binti au wanahoji kufika kwake Chuo?
jibu ni moja huyu binti ana nafasi kufika chuo kikuu na haki ya kufika chuo kikuu pia, alisoma Certificate akasoma diploma then akaenda chuo ninutaratibu ambao upo kisheria. au yawezekana alirudia kidato cha nne akapata credit akaenda advance then chuo. easy tu
MM, kisichoeleweka ni kama kweli binti alimaliza form 4 akiwa hakufaulu, mzazi akiwa msomi akaona bora binti atulie nyumbani huku akimtafutia short cut kujiunga na chuo kikuu? There is something not standing.Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
Sawa sasa nenda kajue hata hiyo miaka miwili kafikia viwango? Kama alikwenda akiwa na uwezo wa astashahada ilikuwa kazi nyepesi ni kuchukuwa stashahada na kuendelea. Hayo yanawezekana. Ingekuwa hajachukuwa kozi ya kumpa uwezo ya miaka miwili tungeungana kushangaa.Sikatai mawazo yako lakini huyu kasoma miaka miwili tu yaani miezi 24 tu kaenda chuo Ebu niambie maajabu yaliyotumika ayatumie kilaza wangu.