Mkambarani
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 287
- 252
Kama ni kweli yupo UDOM basi Rais amtoe mara moja.
kuna usanii mkubwa unao endelea haba bongo!It can't be........... hahaha
unadhani inaweza tokea?Kama ni kweli yupo UDOM basi Rais amtoe mara moja.
kwani div. 4 ni kufeli ..?
lakini huyo si alijiaanda kwa miaka minne..hawezi kuwa ameteleza..uwezo wake kiakili ni mdogo..mifano hiko wazi kutoka kwa baba.
Mkuu, huyo ni "KILAZA" kama baba yake maana na yeye aliungaunga!! Familia ya "VILAZA" waliotumia rasilimali za wengine wanaostahili kusomeshwa!!Kwa kauli yake ni kwamba , hata kama akifanikiwa kuipata hiyo Degree basi itakuwa ni ya ajabu sana .
Hii kauli ya baba J ni mbaya sana , ina maana kwamba hata akipitia certificate then diploma bado hafai kuitwa msomi , sabab alishakuwa kilaza tangu form four .
JPM si ndio alivyosema au!kwani div. 4 ni kufeli ..?
Duh!Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
Mkuu hebu fafanua vizuri,usitafutie watu ban humu....alimtelekezaje? Alikuwa haishi naye? Hebu funguka usifanye watu wakatolewa meno bila ganziAlimtekeza huyu mtoto!mapenz si yamerud baada ya kupitishwa kugombea urais,hajawah kuhoji,baada ya kupata urais ndo akauliza Jesca yuko wapi?akajibiwa Yuko Udom anachukua (sio kusomea) bcom-hrm,maana kwa matokeo hayo nina uhakika ameenda kuchukua degree ya bcom-hrm.Kuna vihesabu hapo cjui anatoa nyago?Fundisho kwa Jpm asipende kuhukumu bila ya kujiridhisha.
Huyo ni wa kumpuuza tu yeye na Dr Mihogo walishakula hela ya ccm na kama kawaida haiwezi kukuacha salama, ubongo wa mwanakijiji wa Detroit umejaa fangasi.Umeandika madudu gani? mbona mpaka sasa ivi yupo darasani wakati kuna walio fukuzwa tena ndani ya masaa 24?!!
Teh,,kanutiiiKumbe hata rais wetu huyu mwema naye ana kilaza wake nyumbani??
Hakika sikio la bwana wa majeshi na mkono wake hautawaacha....na tazama bwana wa majeshi kampiga upofu mfalme na kuwaondoa manabii wote juu ya nchi ili wasipate kunena nayeNADHANI MUNGU AMESIKIA KILIO CHA WAZAZI NA WANAFUNZI WANYONGE WA NCHII HII, AMBAO WALITIMULIWA KAMA MBWA HUKU WAKIWA HAWANA KOSA CHUONI, BAADA YA KUTIMULIWA WAKAITWA NI VILAZA WAKATI UFAULU WAO NI WA JUU SANA
Dk mihogo kwishaa Mzee Mwanakijiji kwishaaa kifo cha mende chaliiiiiHuyo ni wa kumpuuza tu yeye na Dr Mihogo walishakula hela ya ccm na kama kawaida haiwezi kukuacha salama, ubongo wa mwanakijiji wa Detroit umejaa fangasi.
dogo hizi sasa sifaYaweza kuwa kweli ukilaza au umahiri uko kwenye DNA. Ona huyu hapa chini.
View attachment 353341
Naomba unijibuAlimtekeza huyu mtoto!mapenz si yamerud baada ya kupitishwa kugombea urais,hajawah kuhoji,baada ya kupata urais ndo akauliza Jesca yuko wapi?akajibiwa Yuko Udom anachukua (sio kusomea) bcom-hrm,maana kwa matokeo hayo nina uhakika ameenda kuchukua degree ya bcom-hrm.Kuna vihesabu hapo cjui anatoa nyago?Fundisho kwa Jpm asipende kuhukumu bila ya kujiridhisha.
Alimtekeza huyu mtoto!mapenz si yamerud baada ya kupitishwa kugombea urais,hajawah kuhoji,baada ya kupata urais ndo akauliza Jesca yuko wapi?akajibiwa Yuko Udom anachukua (sio kusomea) bcom-hrm,maana kwa matokeo hayo nina uhakika ameenda kuchukua degree ya bcom-hrm.Kuna vihesabu hapo cjui anatoa nyago?Fundisho kwa Jpm asipende kuhukumu bila ya kujiridhisha.