Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hii thread wachangiaji wakubwa 90% ni failures wa category mbalimbali....ukweli utabaki palepale kuwa hao wadogo zenu vihiyo tuliowatimua UDOM ndo ishatoka....hawarudi tena ng'ooooooooooooooooo.....nyambafu!!!
Acha tujue kama hii habari ni ya kweli. Na kama kuna wengine, basi iandaliwe list.
 
Sawa sasa nenda kajue hata hiyo miaka miwili kafikia viwango? Kama alikwenda akiwa na uwezo wa astashahada ilikuwa kazi nyepesi ni kuchukuwa stashahada na kuendelea. Hayo yanawezekana. Ingekuwa hajachukuwa kozi ya kumpa uwezo ya miaka miwili tungeungana kushangaa.
Samahani naomba kujua level yako ya elimu????

Kama hutojali unaweza kuorodhesha baadhi ya vyuo ambavyo unaweza kuingia na kudahiliwa shahada ya kwanza kwa kuangalia kigezo cha astashahada ndugu??? Maana kama haikushangazi mtu mwenye four ya 30 ndani ya miaka miwili akadailiwa chuo kikuu basi wewe ni mmoja wa mnufaika wa dili hilo
 
Hizo ndio alizokataa Rais juzi and im telling kwa uwezo mdogo unaobainishwa na matokeo ya huyo bint.. Labda diploma zile geresha otherwise hawezi faulu. Ushindwe miaka 4 ufaulu miezi 9. Kiukweli tumeharibu elimu
Usomaji wa kidato cha nne na astashahada ni tofauti. Mtihani wa necta ili uufanye unapaswa kusoma mada za kidato cha kwanza,pili,tatu na nne ambao ni mzigo mkubwa wa maandalizi. Kwa astashahada unasoma mada za mwaka huohuo na mzigo mdogo wa maandalizi.
Pia stashahada isiyo ya ualimu kwa vyuo vya biashara hufanyka kwa kila muhula kujitegemea na kukusanya jumla ya maksi. Nao ni usomaji mwepesi kufauru.
Ikiwa kaingia kwa stashahada ya ualimu nitakusaidia kushangaa. Kwani stashahada ya ualimu hutolewa na NECTA na mchukuaji lazima awe na elimu ya kidato cha sita.
 
Sawa sasa nenda kajue hata hiyo miaka miwili kafikia viwango? Kama alikwenda akiwa na uwezo wa astashahada ilikuwa kazi nyepesi ni kuchukuwa stashahada na kuendelea. Hayo yanawezekana. Ingekuwa hajachukuwa kozi ya kumpa uwezo ya miaka miwili tungeungana kushangaa.
Mkuu unamjuaje mwanafunzi ana uwezo wa astashahada, yaani kabisa mwanafunzi aliyepata div 4 ya 30 asome diploma
 
Usomaji wa kidato cha nne na astashahada ni tofauti. Mtihani wa necta ili uufanye unapaswa kusoma mada za kidato cha kwanza,pili,tatu na nne ambao ni mzigo mkubwa wa maandalizi. Kwa astashahada unasoma mada za mwaka huohuo na mzigo mdogo wa maandalizi.
Pia stashahada isiyo ya ualimu kwa vyuo vya biashara hufanyka kwa kila muhula kujitegemea na kukusanya jumla ya maksi. Nao ni usomaji mwepesi kufauru.
Ikiwa kaingia kwa stashahada ya ualimu nitakusaidia kushangaa. Kwani stashahada ya ualimu hutolewa na NECTA na mchukuaji lazima awe na elimu ya kidato cha sita.
Naomba jibu langu ndugu....unaweza kudailiwa chuo kikuu kwa kutumia cheti cha astashahada???? Kama hakuna basi Naomba uniambie (kama umegusa shule lakini) mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akapiga division four ya 30 kisha mwaka 2014 akaingia degree??? Ndani ya miaka miwili awe na ufaulu hafifu hivyo aweze kusoma degree mwaka 2014
 
Hata ndani ya Baraza lake la mawaziri wako vilaza kibao ambao baada ya kufeli darasa la saba wanatuhumiwa kuiba majina ya vipanga kutoka familia masikini. Wengine kwa sasa wanaitwa madokta na maprofesa!
 
Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
Huyo Jesca ni wake kweli? Au watu wanamzushia?
 
Ninashangaa watanzania tunajadili udini.jamani tuachane na hizi tabia ndugu zangu...udini,ukabila au ukanda hauna nafasi katika dunia ya leo na Tanzania yetu.tuwakatae kwa nguvu zetu zote watu wanaotaka kutugawa katika misingi ya udini,ukabila,au ukanda.Sisi watanzania ni wamoja na daima hatutakubali mtu kutuchonganisha kwa misingi yoyote ya kibaguzi.
Kuna maskini na matajiri halafu kuna vilaza na wale wa Mlimani.
 
Sawa sasa nenda kajue hata hiyo miaka miwili kafikia viwango? Kama alikwenda akiwa na uwezo wa astashahada ilikuwa kazi nyepesi ni kuchukuwa stashahada na kuendelea. Hayo yanawezekana. Ingekuwa hajachukuwa kozi ya kumpa uwezo ya miaka miwili tungeungana kushangaa.
mbona unazunguka sana?
 
Washauri wa mheshimiwa sana jitahidini kumbana awe anatoa speech zilizoandaliwa jamani ili kulinda heshima ya ikulu.
Ni aibu watu kuianika familia ya mkuu namna hii na pia ni fedheha kwa huyu binti asiyekuwa na hatia.
Ila siwalaumu wabongo kwa hili,maana wamechokozwa,mmewaita watoto wao vilaza hadharani,sasa na wenyewe wameamua kujibu mapigo.
Msiwachokoze wananchi.
Hii controversy haikuwa na ulazima kutokea kama mkuu angeelewa NGUVU YA ULIMI.
Tuliheshimu na tukakaa kimya kwa heshima ya Rais.kaonyesha kutokujari machungu ya wazazi kama yeye kwa watoto wasiofaulu na kuwaita vibaya.Angekuwa mkweli na mpenda haki angeanza kumtaja wa kwake kwanza kafikaje udom.kasema wa wezake na uku yeye ana ZEZETA WAKE NA KAMPELEKA CHUO KIKUU BILA KUWA NA SIFA.
 
Washauri wa mheshimiwa sana jitahidini kumbana awe anatoa speech zilizoandaliwa jamani ili kulinda heshima ya ikulu.
Ni aibu watu kuianika familia ya mkuu namna hii na pia ni fedheha kwa huyu binti asiyekuwa na hatia.
Ila siwalaumu wabongo kwa hili,maana wamechokozwa,mmewaita watoto wao vilaza hadharani,sasa na wenyewe wameamua kujibu mapigo.
Msiwachokoze wananchi.
Hii controversy haikuwa na ulazima kutokea kama mkuu angeelewa NGUVU YA ULIMI.
It was unnecessary controversy ....busara ingesimama.....waite wahakiki wa vyeti waambie wanafunzi walete vyeti,linganisha,wa halali wabaki,wasio halali waende bila kusababisha unnecessary public tension....kimyakimya.....we should not provoke the public unnecessarily ....inaweza ku -run out of control
 
Back
Top Bottom