Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

View attachment 353228

St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F

============

View attachment 353229
NECTA CSEE 2011

Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.

======
First Name: Dr. John
Middle Name: Pombe Joseph
Last Name: Magufuli
Constituent: Chato
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 9144, Dar es Salaam
Office Phone: +255 713 322 272/+255 754 292 580
Office Fax: + 255 22 2124505
Office E-mail: [email protected]
Member Status: Active
Date of Birth: 29 October 1959

  • EDUCATION
Chato Primary School (1967-1984)
Primary School

Lake Secondary School - Mwanza (1977-1978) Secondary school or High School
Secondary School

Katoke Seminary Biharamulo, Kagera (1975-1977) Secondary school seminary?
Secondary School (CSE)

Mkwawa High School (1979-1981) High School with Diploma in Teaching 3 years (High school repeated?)
Secondary School

Mkwawa College of Education
Diploma in Education (Sc.) Chem, Maths&Edu. (1981-1982) Diploma (Hapa tena) that make 4 year for Mkwawa Diploma which was for 3 years by those days

University of Dar es Salaam
B.Sc Ed. (Hons) Chem.&Maths (1985-1988) Bachelors Degree

Salford -U.K.
M. Sc. (Chem) 1991 1994 Masters Degree

University of Dar es Salaam.
PhD (Chem) 2006 2009 PhD
 
kwanza nikuulize hivi we una elimu gani,sababu huenda na bishana na mtu ambaye alikimbia umande,nimemaliza udom last year hakuna utaratibu huo unaousema wewe..labda udom yako wewe na jesca ndo kuna huo utaratibu
Wewe boya ulikuwa mwanafunzi. Nenda kaulize wanaofanya udahili unaogopa nini wakati ulikuwa hapo pengine hata kitambulisho hujarudisha.
 
kwanza nikuulize hivi we una elimu gani,sababu huenda na bishana na mtu ambaye alikimbia umande,nimemaliza udom last year hakuna utaratibu huo unaousema wewe..labda udom yako wewe na jesca ndo kuna huo utaratibu
Ndugu usiangaike kubishana na huyo kilaza, ukisoma post za nyuma nilimjibu wee nikaja realize nabishana na mtu aliyefeli darasa la saba... kaunga unga nae kanunua smartphone basi kajiunga kwenye social media halafu kichwani hana kitu, hivyo kubishana nae ni kupoteza muda wako tu huyo mtu hajasoma na hajui anachokizungumza ndio maana nilimpotezea kitambo baada ya kujua ni mpumbavu ambaye hajasoma...hivyo achana na kilaza huyo unapoteza nguvu zako kwa mtu asiye na akili
 
Mimi Mtu Wa IT Wewe Huwezi Kuniaminisha Kila Kitu Kisa Ni Picha, Kwani Mtu Anashindwa Kufanya Editing Hapo?!.

Kama We Ungekuwa Si Pumba Si Ungeweka Matokeo Ya Dada Yako Hapa, Mbona Unaweka Ya Adui Yako?!.
Unaandika pumba sana
 
First Name: Dr. John
Middle Name: Pombe Joseph
Last Name: Magufuli
Constituent: Chato
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 9144, Dar es Salaam
Office Phone: +255 713 322 272/+255 754 292 580
Office Fax: + 255 22 2124505
Office E-mail: [email protected]
Member Status: Active
Date of Birth: 29 October 1959

  • EDUCATION
Chato Primary School (1967-1984)
Primary School

Lake Secondary School - Mwanza (1977-1978) Secondary school or High School
Secondary School

Katoke Seminary Biharamulo, Kagera (1975-1977) Secondary school seminary?
Secondary School (CSE)

Mkwawa High School (1979-1981) High School with Diploma in Teaching 3 years (High school repeated?)
Secondary School

Mkwawa College of Education
Diploma in Education (Sc.) Chem, Maths&Edu. (1981-1982) Diploma (Hapa tena) that make 4 year for Mkwawa Diploma which was for 3 years by those days

University of Dar es Salaam
B.Sc Ed. (Hons) Chem.&Maths (1985-1988) Bachelors Degree

Salford -U.K.
M. Sc. (Chem) 1991 1994 Masters Degree

University of Dar es Salaam.
PhD (Chem) 2006 2009 PhD
 
Kufikiri nje ya sanduku au kwa kizungu out of the box sio dhambi, Jamani mi nadhali huyu profesa wa elimu alijua kabisa ishu ya Jesca lakini akashindwa kumtumbua moja kwa moja maana kisu kupita kwenye mfupa mara nyingi huwa ni ngumu, hivyo akaamua kutimua wote ambao mkubwa kawaita vilaza huku akijua kabisa dada yetu hatakua salama maana, watakaokumbwa hawatakubali kuubeba msalaba wenyewe! na kweli bwana ''kila mla huliwa'' walioliwa hawakukubali nao wakala.. au nyie wenzangu jamvini hamna mawazo kama yangu?
 
Kwani mtoto wa watu amefukuzwa? Mh hakuna wa kumtoa pale. watatoka wa kwenu. Sawa na ile ya BOT, hakuna mtoto atakayefukuzwa!
 
Kweli umefikiroa nje ya sanduku.KWA Hali ya kisiasa na visasi olivyo,unaweza kuwa umepatia kabisa.Kwamba ili kumuabisha na kumnyong'onyeza Baba Jesca,ilibidi kuwafukuza hao Special Diploma ili issue ya Jesca Nayo ijulikane.
Yote hayo yamewezekana KWA sababu walijua jinsi Baba Jesca atakavyo respond ili wamwoneshe yaliyofichika.Bahati mbaya Baba Jesca Naye alinasa kwenye mtego
 
Kwa hiyo hawa wote waliojadili huu uzi mpaka pg 120 hawana akili ila wewe, hivi unaweza kutumia njia gani within 2 years kufika chuo kikuu?
Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.
 
Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.
Ukimaliza utadahiliwa na TCU lakini sio NACTE kama yeye alivyodahiliwa na NACTE.
 
Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.
Sasa wewe ndio kilaza wa kwanza maana hao wameisha leta uthibitisho wa kwamba kadahiriwa kwa equivalent qualifications yaani diploma kupitia NACTE na sio TCU ambao wanadahili wanaotoka form 6 direct, siku nyingine usikurupuke kuonesha umbumbumbu wako.
 
Undergraduate Admission
Admission of applicants into higher learning institutions is conducted through the Central Admissions System and involves five categories namely F6, NTA6, FTC, Teacher education and applicants with foreign certificates.
Kwa hiyo hilo swali kafikaje chuo kikuu limeshajibiwa, waambie vilaza wenzio wafuate utaratibu kama huo. By the way tembela website ya TCU alafu linganisha ulichoandika hapo juu.
 
Back
Top Bottom