Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?


Nijuavyo hawa wanafunzi husahau namba zao kwa hiyo kutoa majina ni sahii tu
 
lakini huyo si alijiaanda kwa miaka minne..hawezi kuwa ameteleza..uwezo wake kiakili ni mdogo..mifano hiko wazi kutoka kwa baba.

Aaah, kweli kabisa. Wote vilaza, baba kilaza, mtoto kilaza. Huu ndio muujiza wa Tanzania, kilaza mmoja anawashinda kura watu wenye akili sana na anawaongoza watu wenye vichwa na bongo za hali ya juu. Inabidi tusimwachie huyu, mpaka keleweke, piiiipoooozzzz.
 
FF kusema pooopooozzzz ni usaliti. Ni sawa na kusema Bwana Yesu asifiwe, shauri yako!

Haya wekeni na picha nataka kumposea cholo wa jf
 
Kuteleza. Kufeli ni "Failed".

unazani = unadhani (kama ni mtihani wa Kiswahili hapo umekosa marks 10).

teh teh teh na kama ni mtihani wa english tunampa marks za jesca
 
kwani div. 4 ni kufeli ..?


Ni kufeli sana. Kwa nini usipate div. 1? Hata hivyo, kwa Jessica ndiyo njia ya kuwasubiri vijana wa shule za kata ambao wanaweza wakaungaunga shule.
 
Unapokuwa huna hoja ni vema kukaa kimya kuliko kujilazimisha kutoa maoni,hii hupunguza heshima yako!na si kila likufikalo kinywani ni zuri kulitamka,kwani mengine huwa matusi!

Wewe kutuwekea hiyo picha ya mshale hapo siyo matusi? au mradi kwako wewe ni sawa basi kwa wote ni sawa? Ungeona nyuzi ya mtoto wa Kikwete watu walivyoshambulia Uislaam usinge yasema hayo.
 
Unapokuwa huna hoja ni vema kukaa kimya kuliko kujilazimisha kutoa maoni,hii hupunguza heshima yako!na si kila likufikalo kinywani ni zuri kulitamka,kwani mengine huwa matusi!

Watu wengine bwana, lazima wawepo mahali hata kama hawatakiwi hata kusogea.
 
kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado

Hahahahaha napinga ndiyooooooooooooo
 

Nilidhani Bwagamoyo tu kumbe mpaka Chato yapo ! Na utastaajabu kesho na kesho kutwa Jesca John Pombe Magufuli ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa Sana hapa TAnzania ....
 
top ten hamna muislamu ata mmoja.mumetia aibu sana kwa mara nyingine.na yule wa kwanza kutoka Feza boys ni mkristo.itabidi mlazimishwe kusoma elimu dunia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…