Yet unawaita wenzio mburula....Doh!...
Sasa umeweka nini hiki...
Hayo ni majina ya watu waliodahiliwa na TCU kupitia NECTA...Hoja hapa sio huyo binti hayupo UDOM....Hoja anayobisha Ruta ni kusema kwamba huyo binti amedahiliwa na NACTE kwenda UDOM...
Halafu, huyo binti amemaliza kidato cha nne mwaka 2011..What if ali reseat mwaka 2012 akapata credit.. Then akasoma certificate mwaka mmoja na Diploma akapata sifa ya kudahiliwa na TCU...
Bahati mbaya watu wanataka kulinganisha suala la huyu binti na wale wanafunzi wa program maalum ya ualimu walioondolewa UDOM..Wale walienda UDOM mara baada ya matokeo kutoka...
Huyo ruta wako anataka watu wa argue issue ambayo iko nje ya framework iliyoshikilia hii thread. Na huwa ni vilaza tu ndio mara nyingi huwa wanatoka nje ya mada.
Kwa ufikiri tu wa kawaida mtu utagundua kabisa kwamba the main theme of discusion here, i.e. the motive behind hii thread, ni swala la watoto wa watu kuitwa vilaza, wakati kumbe anayewaita vilaza na yeye pia kazaa "kilaza" kwa kutumia definition yake hiyo hiyo ya ukilaza. Tena huyu ni kilaza sugu na pengine ukilaza wake ni genetical, maana yeye anafeli hata kiswahili huku akiwa amelelewa na kuishi kwenye mazingira mazuri kabisa. Tuna uhakika kabisa alikuwa hafanyi homework na revision zake kwenye vitabari au mishumaa kama wenzake, alikuwa hana majukumu ya kwenda kuchota maji mbali na ndoo kichwani kama wenzake, hashindi na njaa kama wenzake, haendi darasani bila kula, hatembei masaa mawili kufika shule, hana shida ya vifaa vya shule vitabu n.k, shule aliyokwenda ina walimu wa kutosha na miundo mbinu inayotakiwa, etc etc... lakini bado huyu jesika anapata F ya kiswahili!! Ptuuuuuu!! Huu ni ukilaza wa kiwango gani? Kwa mazingira mazuri aliyosomea, hivi tukisema huu ukilaza wake uko rooted ndani ya DNA zake tutakuwa tumekosea?
Alafu wewe unataka tu-discuss "wha if" zako,what if sijui kafanya setifiketi, sijui dipuloma...so whaaaat? Tunachoongelea hapa ni huyu kilaza na miswaki yake kibaoo... Baba yake kashasema watu waliofeli kwa kiwango hiki ni vilaza na wanatakiwa watafute vyuo vya saizi yao... kwa hiyo what if zenu, sijui Nacte, sijui TCU, mkae mkijua, they are not object of concern kwenye hii thread kaaabisa.
...and the Moral of the story/thread, usirushe mawe ukiwa umekaa ndani ya nyumba ya vioo, ukifanya hivyo watu wanaweza wakakuita kilaza.