Wenzako huko juu wamekuja na hoja kama hii hapo juu wameishia kukimbia.Mkuu kama alirudia pepa we unajuaje?lakini ungeweka yako hapa tuyaone,hii ndo kazi tunayoweza kupekenyua habari za watu,njoo huku mriba tulime mpunga haya hayawezi kumfanya jamaa hasiwe raisi au hayawezi kuwarudisha watoto wetu UDOM.
Inaitwa usianzishe ugomvi wa mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo..Kwa kizazi hiki nawaogopa wa TZ,ni wa baya kuliko moto wapetroli.Yaani wanatusua balaaa
Weka pilipili Mkuu natoka dukani mbio na chumvi ya mawe mboga iwe tamuDIVISION 4 YA 30 HATA CHETI CHA UALIMU HUPATI/HUCHUKULIWI... LEO ANASOMA DEGREE YA RASILIMALI WATU...
kwani div. 4 ni kufeli ..?
Mbona watu washasema alienda Magogoni kusoma certificate?! Let's assume it's a joke; hivi NACTE huwa wanadahiri Form VI Leavers?!Kimahesabu kama alijiunga na kidato cha tano shule binafsi huku akiwa anarisiti mtihani wa kidato cha nne hiyo inawezekana kabisa!! Labda tutafute matokeo yake ya kidato cha sita.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Duh ata kaka yake anafanya kazi wizara ya ujenz kimiujiza.....nashangazwa sanaKwa bahati nzuri huyu nimesoma nae shule moja class moja na ufaulu wake naufahamu na tulimaliza wote 2011 na akaenda magogoni.sasa nashtuka sana kusikia yupo 2nd year Dodoma wakati angepaswa kuwa 1st year.yaani in short katoka certificate akaanza degree hajasoma diploma Kama inavyotakiwa
Inaitwa usianzishe ugomvi wa mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo..
Angekuwa na akili angefaulu na kusoma form five na six kisha ndio akaenda chuo kikuu..Hao watoto wamerithi akili za Nani? Mbona papaaa anakariri mpaka dagaa na vibambara?
YAAANI SIJUI ULIJUAJE MKUU?,,,,,,,,Ila kuna watu magenius aisee?kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
Hata wale wa kwetu waliofukuzwa UDOM wakaitwa vilaza watakuwa kisaikolojia wameathirika sana.Inatosha maana hapa kisaikolojia huyo Jesca atakuwa ameathirika sana.
Alafu ajabu leo hii huyo binti aliyetusua Division 1 akimwacha binti wa kwanza akiwa na Four inayokaribia ZEERO wako nae darasa moja pale UDOM...Hii ingekuwa poa kama aliyedownload angeweka na shule ya Kayumba binti au kijana mmoja aliyetusua division one au two kwa mwaka huo ambao wapo.Hapo ndipo tungeweza kupata uhakika wa nani kilaza
Weeee unasema tumuache kwa message za humu je wale watoto wetu, wadogo zetu na ndugu zetu waliokuwa na ufaulu wa daraja la 1-3 wakachaguliwa kwenye program maalumu pale UDOM kisha jana anasimama mkulu wa kaya anawaita 'Vihiyo' au "VILAZA" unadhani itafutika vichwani mwao kirahisi hivyo?? Unajua hali yao Sasa hivi baada ya kauli ile ya udhalilishaji, kashfa na dharau kama ile??? Kama kiongozi anamuita mtoto aliyepata division one hadi three kilaza basi mtoto wake aliyepiga miswaki kadhaa na kulamba four akakaribia kuichungulia zero na leo yupo second year UDOM nani kilaza hapo??? Sometimes maneno ya faraja yalitakiwa na busara plus wale hawakujichagua wenyewe na kujipa mikopo bali walichaguliwa kihalali na kupewa mikopo kihalali.. Leo binti yake kuwa kilaza tusiongee eti inatosha...mxiewwwwwMuacheni jamani apumzike na awe na amani
heeeeeee........Duh ata kaka yake anafanya kazi wizara ya ujenz kimiujiza.....nashangazwa sana
Alafu ajabu leo hii huyo binti aliyetusua Division 1 akimwacha binti wa kwanza akiwa na Four inayokaribia ZEERO wako nae darasa moja pale UDOM...
Ulikuwa unajaribu kusema nini hasa contrary na hoja uliyopewa kwamba hakusoma advance tofauti na hoja yako kwamba inawezekana alisoma A level?Programme: Bachelor of Commerce in Human resources management (BCOM-HRM )
Admission requirements: Diploma (NTA LEVEL 6)
-Diploma in human resources with second class or credit or B average
-Diploma in Accountancy or Business management with second class or credit or B average.