Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Huyu Mbona kafaulu sana kuliko KUB- Bwn. Mbowe..
 
Hata akitolewa, swali ni kwamba alifikaje?? Si kuna mtoto wa maskini aliyefaulu vizuri lakini alinyimwa hiyo nafasi na kupewa huyo binti.. Na hata akiondolewa, atapelekwa nje na huko atasoma na atarudi kupewa Ubunge wa viti maalumu au kazi nzuri tu pale BOT...

Nilikuwa nina imani nae lakini kumbe hapiganii misingi ila kuna ambacho anakipigania..
 
Nchi ya vlaza hii, yaan Ata uyu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msemakweli mpenzi wa munguuu....naongea kutoka moyoni ndani kabisa....najua mungu yuko na Mimi kwa kuwa nasema ukweli
 
Jesca hebu wafundishe mbinu wale waliotimuliwa ili wawe ulipo
Mi nadhani hili ndo la msingi zaidi! Mi kuna dogo alipata Pt 28; hadi Ualimu alikosa! Kumbe kuna namna afu' watu wanashindwa ku-share maujanja!
 

Kwani hukujua na yeye ni mpigaji??Alipiga akiw Ujenzi,barabara zipo substandard,nyingine pesa zimeshalipwa zote lakini hakuna barabara,kivuko zero hakuna cha maana hapo zaidi ya kelele.Atuambie mtoto wake alifikaje hapo???

Toka mwanzo sikumuamini,ndiyo sababu sikupiga KURA ya RAIS maana CDM waliniangusha na CCM waliniangusha.Kulikuwa na candidates wazuri sana ambao kwa uhakika wala nguvu kubwa isingetumika.AKina Judge Ramadhani,wanamakosa yao lakini ni wasafi zaidi kwa asilimi 90,kuliko huyu.

Ngoja tusubiri bado anamuda wa kujirekebisha kama atakubali kukosolewa.Mbaya zaidi anaalergy ya kukosolewa.
 
Hii thread wachangiaji wakubwa 90% ni failures wa category mbalimbali....ukweli utabaki palepale kuwa hao wadogo zenu vihiyo tuliowatimua UDOM ndo ishatoka....hawarudi tena ng'ooooooooooooooooo.....nyambafu!!!
 
Mi nadhani hili ndo la msingi zaidi! Mi kuna dogo alipata Pt 28; hadi Ualimu alikosa! Kumbe kuna namna afu' watu wanashindwa ku-share maujanja!

Maujanja ni PESA na KNOW who
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…