SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Kwi kwi kwi....duuu watu wanachekesha jamani eti mwanafunzi wa mwendokasi😀😀😀jamani mwenye picha ya huyu mwanafunzi wa mwendokasi atuwekee tumwonapo
Unakuwa na papara ya nini? Soma nilichokiandika kama ni hicho ulichokiwekea alama ya kuuliza. Narudia kama alikuwa na uwezo wa astashahada itakuwa ni rahasi anasoma stashahada na kisha shahada.Samahani naomba kujua level yako ya elimu????
Kama hutojali unaweza kuorodhesha baadhi ya vyuo ambavyo unaweza kuingia na kudahiliwa shahada ya kwanza kwa kuangalia kigezo cha astashahada ndugu??? Maana kama haikushangazi mtu mwenye four ya 30 ndani ya miaka miwili akadailiwa chuo kikuu basi wewe ni mmoja wa mnufaika wa dili hilo
Kweli ulikuwa na hamu na jibu. Nimekujibu.Naomba jibu langu ndugu....unaweza kudailiwa chuo kikuu kwa kutumia cheti cha astashahada???? Kama hakuna basi Naomba uniambie (kama umegusa shule lakini) mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akapiga division four ya 30 kisha mwaka 2014 akaingia degree??? Ndani ya miaka miwili awe na ufaulu hafifu hivyo aweze kusoma degree mwaka 2014
Kivipi? Au najadiliana na mtu aliyeshaba viroba?mbona unazunguka sana?
Angepata siri ya mtungi-OHIVI HUYU BINTI ANGESOMA SHULE ZA KATA ANGEPATA NGAPI ?
mimi sio wa Lumumba kwahiyo situmiiKivipi? Au najadiliana na mtu aliyeshaba viroba?
Certificate na Diploma kwa miaka miwili?Nyumbu ni nyumbu tu. Binti huyo alisoma certificate mwaka mmoja baada ya kumaliza hiyo form four yake mbovu. Baadae akasomea diploma iliyomuwezesha kusoma degree UDOM. Hapo hakuna cha ajabu. Wengi wamepita njia hiyo.
Ingekuwa shida kama angeingia UDOM moja na toka form four tena kwa results kama zile.
Angepata ivi! Four years For Finding Food! Ha haaa ni Nouma!HIVI HUYU BINTI ANGESOMA SHULE ZA KATA ANGEPATA NGAPI ?
Hujatoa jibu badala yake naona unazunguka zunguka tu...umesema kuhusu ndani ya miaka yake miwili kuwa na sifa za kudahiliwa shahada ya kwanza kisha ukaenda mbali zaidi ukaweka astashahada na stashahada...ndugu swali langu kwa miaka miwili ni chuo gani unaweza kusoma astashahada na stashahada kwa jumla ya miaka miwili tu??? Unarudia kile kile walichoongea wenzako kuhusu kusoma astashahada kisha stashahada lakini swali likiwa inawezekana kwa miaka miwili tu??? 2011 october form fourUnakuwa na papara ya nini? Soma nilichokiandika kama ni hicho ulichokiwekea alama ya kuuliza. Narudia kama alikuwa na uwezo wa astashahada itakuwa ni rahasi anasoma stashahada na kisha shahada.
Sasa swali uliloniuliza likurudie.
Kweli wewe akili mgando na bila Shaka ni mvuta bangi na mkurupukaji...unadhani kama tungekuwa tunaongelea PUMBA zako hizo basi ingefika page zaidi ya 130??? The issue ni jumlisha utumbo wako ulioandika wa certificate na diploma kwa miaka miwili tu ndio mada kuu...kiazi mviringo weeeeNyumbu ni nyumbu tu. Binti huyo alisoma certificate mwaka mmoja baada ya kumaliza hiyo form four yake mbovu. Baadae akasomea diploma iliyomuwezesha kusoma degree UDOM. Hapo hakuna cha ajabu. Wengi wamepita njia hiyo.
Ingekuwa shida kama angeingia UDOM moja na toka form four tena kwa results kama zile.
Mtatupasua mbavu jamaniiiiiUsikute huyu binti kwenye huo mtiani Wa hesabu alichora zombie
Amepanic huyo, unadhani hata hizi division zero si huwa wanazipata kwa kukurupuka kama hivi wakati mtihani mwingine hata kwa kichwa tu unapata 100%Unaelewa mada iliopo mezani! Au ndio mahaba niuwe?