Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Charity begins at home, haya magu atumbue jipu la mwanae UDOM sio kuonea watoto wa walala hoi, dunia ni duara
 
Hapo unaongelea mtu mwenye uwezo wake. Kama iyo unayo ongelea inahusisha hadi vilaza wa division 4 karibia na 0 basi tumeua elimu
 
Naona umekuja kutukana watu humu nikwambia kitu kimoja wanachohoji watu ni kuwa kwanini Jesca asome miaka miwili cheti na diploma.
 
Bungeni kipindi matokeo yatamnyima mtu posho.
Watoto ya wakubwa wanakula hizi nne nne
I presume binti kachukua certificate one yr, then diploma 2yrs na sasa she is fit to undertake a degree course. Hence she has taken the legal and right path!!
 
nafikir masaburi akukosea maaba niue ngoshanyi usisicimamishe gari kwa nyumba utaachwa ata diploma ci dhani kama unayo ila kele nyingi au ndio wewe kama yule aliyesoma qt miaka kumi
 
Acha kutetea ujinga mkuu. Ukihesabu miaka kwa mpangilio wa elimu ya Tanzania kwa kuangalia ukisemacho alitakiwa awe first year. Swali iweje yupo mwaka wa pili
 
I presume binti kachukua certificate one yr, then diploma 2yrs na sasa she is fit to undertake a degree course. Hence she has taken the legal and right path!!
Umetumia masaburi kupata jawabu?
 
Yaani umeshindwa kuendelea Novemba 2012 kumaliza astashahada baada ya wiki tatu matokeo Januari 2013 mwaka wa kwanza wa stashahada miezi tisa masomo na matokeo. 2013 novemba mpaka 2014 Agosti stashahada masomo na matokeo. Ocktoba 2014 anadahiliwa kuchukua shahada.
Hojazenu ni sa kijinga ndio maana mnahaha kuihalalisha kwa kujitoa akili
 
Wewe ni kinemberie
 
I presume binti kachukua certificate one yr, then diploma 2yrs na sasa she is fit to undertake a degree course. Hence she has taken the legal and right path!!
Hapo ndipo mahesabu yanakataa mkuu 2012 jumlisha miaka mitatu ya mmoja certificate miwili diploma alitakiwa amalize diploma 2015. Sasa anakuaje UDOM mwaka wa pili? watu wanataka kujua
 
Harakati ziendelee mpaka jesika naye aisome namba kama sisi mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…