Ally Yusuph Makamba,aliye kuwa anafanya kazi ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Alifukuzwa kwa kosa la ulevi saa za Kazi na taarifa zaidi zinasema amekuwa akilewa mara kwa mara kitendo kinacho idhalilisha mahakama na mahakimu.
Source:Tanzania DAIMA.
Huyo ndio mtoto wa Makamba ambaye hata yeye(Makamba)hamwamini isipokuwa mtoto wake mwingine almaarufu MAKAMBA ambaye ni Mwanajeshi wa JWTZ kambi ya ARUSHA

There is no newz here!
πmimi sijui familia yoyote ya kigogo ambayo ni mfano wa kuigwa. Labda wana JF mniambie.
Pole yake watu tunatafuta kazi wengine wanazichezea
At the risk of sounding inapropriately gleeful with a schadenfreude like satisfaction, the question of whether this is a genetic issue plaguing this family and therefore rendering the subject as deserving more help than condemnation arises.
Word on the street is that his State House brother is none the wiser on this very issue, a national security concern.
But if we had a constantly premium-Scotch chugging president who once, as a Foreign Minister had to be awaken by Secret Service in the nick of time due to wanton drunkenness (before departing to Saudi Arabia of all places!!) while the then president was waiting for him, against protocol at DIA, what is an aide but a paling comparison?
Seriously, it is quite possible that this weakness runs in the family. I would say he should check himself into a clinic, but I am not sure the concept is not foreign in Tanzanian society and such an institution is still a Hollywood novelty.
Ufukunyuzi uliotukuka.post ya mwaka 2009.
πUfukunyuzi uliotukuka.post ya mwaka 2009.