Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 112
Ally Yusuph Makamba,aliye kuwa anafanya kazi ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Alifukuzwa kwa kosa la ulevi saa za Kazi na taarifa zaidi zinasema amekuwa akilewa mara kwa mara kitendo kinacho idhalilisha mahakama na mahakimu.
Source:Tanzania DAIMA.
Huyo ndio mtoto wa Makamba ambaye hata yeye(Makamba)hamwamini isipokuwa mtoto wake mwingine almaarufu MAKAMBA ambaye ni Mwanajeshi wa JWTZ kambi ya ARUSHA