bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,985
Who is Mange Kimambi and why should I care?
Nyie Wamarekani wawili mbona mmepotea kwa Pomoja, hamuonkani humu, we miss youHiyo ni point iliyo valid. Nakubali hilo.
Hivi mtu unawezaje kuwa tajiri bila na kuwa na nidhamu ya kutunza pesa zako? Usione watu ni matajiri tu na ukadhani ni watu wa kutumia pesa zao with reckless abandon.
Kumfunza mwanao jinsi ya kutengeneza pesa na kuzitunza kwa ajili ya kuja kufanyia mambo ya msingi (kama vile kulipia ada ya shule) ni jambo bora na lililo la msingi kabisa.
Sioni ubaya wowote ule katika hilo.