Mimi ninamfananisha na Gigy Money, alisema makuzi aliyokulia ndiyo yamemfanya awe vile. Alisema anataka watoto wake wasome shule nzuri za private kama Baba yao.Aisee muda unasogea. Mtoto amekuwa hivyo? Namkumbuka jade enzi za big brother. Akili zake zilikuwa kama za shilole. Ila alikula good time na watoto wake
Stori za kifo cha huyu dada ilinisikitisha sana.
Jade Goody, nakumbuka siku zake za mwisho mwisho nywele akawa kanyoa, halafu alikuwa na mahasira hasira mapaparazi wanakaa tu nje ya nyumba yake kufuatilia muda wa mwisho wa maisha yake. Alipofariki iliniuma japo kwenye big brother alikuwa mbaguzi hasa kwa wahindiMimi ninamfananisha na Gigy Money, alisema makuti aliyokulia ndiyo yamemfanya awe vile. Alisema anataka watoto wake wasome shume nzuri za private kama Baba yao.
Jeff na Jade walikua watu wawil waliotoka dunia tofauti, Jeff mtoto wa middle class wakati Jade ni wa Kwamtogole ya London.