Mtoto wa marehemu Jade Goody sasa ni mwanamitindo

Mtoto wa marehemu Jade Goody sasa ni mwanamitindo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1604695527603.png

1604695550324.png

1604695846678.png

Wakati wa uhai wake Jade alibahatika
kupata watoto wawili na mtangazaji wa TV Jeff Brazier. Mtoto wao wa kwanza Bobby Brazier ni mwana mitindo sasa.

Jade alifariki kwa cancer ya uzazi ambayo kwa sasa imepatiwa chanjo kwa wasichana kuanzia miaka 12.
 
Aisee muda unasogea. Mtoto amekuwa hivyo? Namkumbuka Jade enzi za big brother. Akili zake zilikuwa kama za Shilole. Ila alikula good time na watoto wake.
 
Aisee muda unasogea. Mtoto amekuwa hivyo? Namkumbuka jade enzi za big brother. Akili zake zilikuwa kama za shilole. Ila alikula good time na watoto wake
Mimi ninamfananisha na Gigy Money, alisema makuzi aliyokulia ndiyo yamemfanya awe vile. Alisema anataka watoto wake wasome shule nzuri za private kama Baba yao.

Jeff na Jade walikua watu wawil waliotoka dunia tofauti, Jeff mtoto wa middle class wakati Jade ni wa Kwamtogole ya London.
 
Stori za kifo cha huyu dada ilinisikitisha sana.
 
Mimi ninamfananisha na Gigy Money, alisema makuti aliyokulia ndiyo yamemfanya awe vile. Alisema anataka watoto wake wasome shume nzuri za private kama Baba yao.

Jeff na Jade walikua watu wawil waliotoka dunia tofauti, Jeff mtoto wa middle class wakati Jade ni wa Kwamtogole ya London.
Jade Goody, nakumbuka siku zake za mwisho mwisho nywele akawa kanyoa, halafu alikuwa na mahasira hasira mapaparazi wanakaa tu nje ya nyumba yake kufuatilia muda wa mwisho wa maisha yake. Alipofariki iliniuma japo kwenye big brother alikuwa mbaguzi hasa kwa wahindi
 
Back
Top Bottom