Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
 

Attachments

  • 58421463fcd4e7d9463e4f881aa7acab(0).png
    58421463fcd4e7d9463e4f881aa7acab(0).png
    741 KB · Views: 7
Mama yake juzi katoka kumkimbia mume huyo dogo atayaweza?

Au nae anaenda kufanya majaribio kama alivyofanya mamake yakamshinda!.

Anyway, labda hiyo pete kavishwa na ujasiriamali kwasababu sioni jina la mwanaume aliyemvisha.
 
ukitaka kuoa mwanamke cha kwanza chunguza tabia za mama yake kama yupo
Yaa, Ni kweli.
Miaka ya zamani wazazi wetu walikuwa wanataka tukaoe kijijini, lengo lao ilikuwa wanatusaidia kuchunguza tabia za wazazi wa huyo binti zipoje?

* Wakiona mama wa huyo Binti alimtokroka Mume ili awe huru kudanga - Wanajua hiyo senario kwa asilimia 50 itakuja kujirudia (Wanakuambia hapo kwenye hii familia hamna mke)

* Walikuwa wanajipa muda wa kuchunguza Tabia za wazazi wa binti zipoje?, Wacha Mungu?, Je ni walevi sana, kuna magonjwa ya kurithi (Kisukari, Pumu au Kifafa) nk Ilisaidia sana kupata mke bora.
 
Back
Top Bottom