Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu

Wazazi wanafuraha sana kuwa na mtoto kama huyu coz ada kwako ni mwiko, wafadhili wataneng'eneka hadi mwisho....
 
safi sana, na pia ana bahati kuzaliwa na kusomea nchi iliyoendelea kwa yote, ingekua Tanzania.....cjui ni chuo gani kingempokea. Labda wangeanzia hospital ya milembe kumpima kama yupo timamu
 
Tanzania tunafundishwa siasa tu, hatufundishwi uvumbuzi.
Nitajie nchi moja tu duniani inayofundisha uvumbuzi uweke na ushahidi wa mvumbuzi yeyote aliyevumbua chochote aliyefundishwa kuvumbua hicho alichovumbua.Watu kweli mmeichoka Tanzania hameni basi kuliko kuizulia uongo kutwa.
 
Ingependeza kama angekuwa anasolve complex numbers ama anachapa general solutions za calculus.

But quadratic eqn ni level yake kabisaa.
 
Ingependeza kama angekuwa anasolve complex numbers ama anachapa general solutions za calculus.

But quadratic eqn ni level yake kabisaa.

"Isaiah is following in
his sister's footsteps. He
is doing calculus and
advanced algebra.
 
Halafu solution yenyewe hiyo naona kama anatupeleka chaka...! Ingawa sijaihakiki.

Hiyo solution ni chaka, swali analosolve silo lililoandikwa. Kama hiyo solution inayoonekana ni ya hilo swali, basi huyu dogo hana uspecial wowote, bad enough walioitoa hiyo picha hawajahakiki.
 
basi kama ni hivyo hata Siti mtenvu watu wasingehoji umri wake kwa kigezo cha miaka ya elimu! hahahahah! Napita tu kwa leo.
 
East African Eagle,

Yule mkorea bingwa wa namba aliyeajiriwa na NASA alikuwa na umri wa miaka mingapi ?
 
Last edited by a moderator:
glady she is not a kenyan,maana tusingekunya maji leo.:biggrin::biggrin:
 
Reactions: kui
yule mkorea bingwa wa namba aliyeajiriwa na NASA alikuwa na umri wa miaka mingapi ?

Uvunjaji sheria ya ajira kwa watoto ni tatizo la dunia ikwemo NASA.Sheria za ajira kuhusu umri ziko wazi dunia nzima lakini kuna ambao hawajali.Na hawapati wa kuwakomalia.

Hiyo ajira angetokea wakili akawakomalia NASA leo hii huyo wakili angekuwa anang`aa kama dhahabu dunia nzima.Niwaombe wanasheria kama wana kesi yeyote ya ajira ya watoto wanayojua wakomalie wasiogope iwe NASA ndio imekosea wala nani ili wajenge CV zao.
 
Hata mimi nna mdogo wangu ana umri wa miaka 6 tu anagonga CHEMISTRY NA BIOLOGY kinomaa!.lakini ndoivyo tu system ya kibongo hairuhusu, ingekuwa ulaya angeenda kusoma hata UDAKTARI

subiria kampeni zianze watakutafuta dogo awapigie "kick" :hat:
 
Hongera yake jaman, ila ukweli usiopingika hesabu ni somo rahisi Mimi nalipenda sana ila lenyewe halinipendi.
Sijuti sababu nimemfanya mdogo wangu aamini hesabu ni rahisi, na sasa linamlipa yupo feza boys kwa kulipiwa gharama zote.
 
Ana asili ya nchi gani? Ngoja Wakenya, Waganda na Wanaijeria wenye 'O'someone names waje hapa!
 
kweli, kama hivyo ni vema basi mimi nadai A yangu ya hesabu o level
 
glady she is not a kenyan,maana tusingekunya maji leo.:biggrin::biggrin:

kadoda11 Huwa mnalianzisha halafu inakula kwenu mnatoroka na kutoweka. Mtoto anaitwa Esther Okade
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…