Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie nchi moja tu duniani inayofundisha uvumbuzi uweke na ushahidi wa mvumbuzi yeyote aliyevumbua chochote aliyefundishwa kuvumbua hicho alichovumbua.Watu kweli mmeichoka Tanzania hameni basi kuliko kuizulia uongo kutwa.Tanzania tunafundishwa siasa tu, hatufundishwi uvumbuzi.
Ingependeza kama angekuwa anasolve complex numbers ama anachapa general solutions za calculus.
But quadratic eqn ni level yake kabisaa.
Wasije wakawa wame'mplati' Intel chips' maana hawa gonzi nyeupe siwaamini hata kidogo sisi kutufanya subject kwenye majaribio yao!She is pure an African girl. Mungu awe nae.
...
But quadratic eqn ni level yake kabisaa.
Halafu solution yenyewe hiyo naona kama anatupeleka chaka...! Ingawa sijaihakiki.
yule mkorea bingwa wa namba aliyeajiriwa na NASA alikuwa na umri wa miaka mingapi ?
Mtoto genius sana maashaAllah mungu ajaalie wanangu maarifa pia
Hata mimi nna mdogo wangu ana umri wa miaka 6 tu anagonga CHEMISTRY NA BIOLOGY kinomaa!.lakini ndoivyo tu system ya kibongo hairuhusu, ingekuwa ulaya angeenda kusoma hata UDAKTARI