Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu

Mtoto wa miaka 10 ajiunga na Chuo Kikuu kusomea Hesabu

Watu wenye akili nyingi sana za darasani mara nyingi maisha huwa yanawasumbua.

Kweli kaka mimi naangaika mpaka kila mtu kwenye ukoo wetu ananishangaa i used kuwa kipanga ila nilikuja kukwama after university mimi kwa issue za shule ni mmbaya shida life ya kawaida inanitesa sana! Huwa nawaza kwamba nilitakiwa kufanikiwa through skuli sasa my family poverty ilinifanya ni lost my dreams!
 
kubahatika kupata toto la hivi safi sana.... angekuwa Tanzania hakuna chuo ambacho kingemkubali

Vyuo vyetu viko sahihi.Mambo makubwa yanataka yaendane na umri mkubwa. Mtoto mdogo waweza hata mfundisha kuendesha gari,meli au ndege akaweza lakini huwezi mkabidhi mtoto wa miaka kumi kwa mfano aendeshe basi la abiria, meli au ndege ikiwa na abiria.

Pamoja na kujua hajakomaa kufanya hizo kazi.Na kuna sheria za kuzuia mfano sheria ya ajira inakataza kuajiri watoto hata kama wana PHD ulimwenguni pote.

Hako katoto hata kakipata PHD huwezi kukaajiri sababu sheria za ajira duniani zinakataa ajira kwa watoto.

Akianza kujaza mambo makubwa mengi akiwa mtoto ubongo wake utachoka na kuchakaa haraka huko mbele hilo toto litakuwa boya.

Ndiyo maana mtoto inatakiwa aelimike taratibu kadiri akuavyo na akae na kukua na watu wa rika yake. Hebu fikiria mtoto wa miaka 10 yuko darasani na mijitu mizima darasani chuo kikuu inayoongelea kuachwa na boy friend au girl friend kimalezi unamwonea na kumchanganya sio mahali pake.Anatakiwa kuwa darasa lenye watoto wenzie wanaoendana.
 
Huyu ni mpopo...sababu nchi yake haina mazingira ya kufanya wananchi wake wababki kwao hii tayari ni brain drain
 
Afu akili karithi kwa mamake...wale wanaobisha kuhusu hili wajionee wenyewe...
 
Okade...Efe ni majina ya Kinigeria wewe...
Naona Mkenya hapo kakupa like huku anajua si kweli...
Ingekuwa kweli unadhani angeleta mada kimya kimya...na wanavyopenda misifa hawa watani zetu..

halafu ni mjaluo
 
Afu akili karithi kwa mamake...wale wanaobisha kuhusu hili wajionee wenyewe...

Kwani kuna anayebisha kwamba mtoto hawezi kurithi akili kutoka kwa mzazi wake?

Mtoto anaweza kurithi akili kutoka kwa mzazi yeyote yule, awe baba au mama.

Hivyo inawezekana kabisa karithi kutoka kwa mama yake na/ au inawezekana karithi kutoka kwa baba yake.

Au yawezekana kabisa karithi kutoka kwa babu au hata bibi.
 
Kuna mjadala naona wewe ulikupita...ngoja niishie hapa maana ubishi wake ulikuwa mkubwa...kwa wale walioshiriki wamenipata...

Huo mjadala niliufuatilia kwa umakini kabisa na sikuona yeyote aliyebisha kuwa mtoto hawezi kurithi akili toka kwa mama yake.

Niliona watu (ukiwemo wewe) waliokuwa wanadai kwamba mtoto anarithi akili kutoka kwa mama tu na wengine (ambao nakubaliana nao) waliokuwa wanasema kwamba mtoto anaweza kurithi kutoka kwa mzazi yeyote (baba au mama).

Sasa kama kuna mtu aliyebisha kwamba mtoto hawezi kurithi akili kutoka kwa mama au baba anashangaza.
 
Asisahau kucheza na watoto wa rika lake...lasi hivyo akifika 20 anaweza kua chizi..Na makampuni kama Nasa..Apple etc yakaishia kumfungia laboratory!!
 
Hata mimi nna mdogo wangu ana umri wa miaka 6 tu anagonga CHEMISTRY NA BIOLOGY kinomaa!.lakini ndoivyo tu system ya kibongo hairuhusu, ingekuwa ulaya angeenda kusoma hata UDAKTARI

ndio Tz yetu inabidi tukubali tu
 
Kiukweli hakuna ambae hatamani kuwa na mtoto kama huyo,watoto wakike huwa na uwezo kuzidi wa kiume ila sasa sijui uwezo ule huwa unapotelea wapi.

Lakini mtoto kama huyu akitokea Tanzania utakuta Ma Prof. wakitanzania wanaanza kumkosoa sanaa pale anapowashinda badala ya kumpa uwezekano wa kuonyesha kipji!
 
Duh,kuanza kukimbiza hisabati mapema yote hiyo...kabarikiwa huyu kiumbe cha Mungu.
 
Vyuo vyetu viko sahihi.Mambo makubwa yanataka yaendane na umri mkubwa.Mtoto mdogo waweza hata mfundisha kuendesha gari,meli au ndege akaweza lakini huwezi mkabidhi mtoto wa miaka kumi kwa mfano aendeshe basi la abiria,meli au ndege ikiwa na abiria.Pamoja na kujua hajakomaa kufanya hizo kazi.Na kuna sheria za kuzuia mfano sheria ya ajira inakataza kuajiri watoto hata kama wana PHD ulimwenguni pote.

Hako katoto hata kakipata PHD huwezi kukaajiri sababu sheria za ajira duniani zinakataa ajira kwa watoto.

Akianza kujaza mambo makubwa mengi akiwa mtoto ubongo wake utachoka na kuchakaa haraka huko mbele hilo toto litakuwa boya.

Ndiyo maana mtoto inatakiwa aelimike taratibu kadiri akuavyo na akae na kukua na watu wa rika yake.Hebu fikiria mtoto wa miaka 10 yuko darasani na mijitu mizima darasani chuo kikuu inayoongelea kuachwa na boy friend au girl friend kimalezi unamwonea na kumchanganya sio mahali pake.Anatakiwa kuwa darasa lenye watoto wenzie wanaoendana.

Nakubaliana na wewe kabisa, ni bora mtoto afikishe umri na taratibu afuate mfumo uliopo. Mwanangu msichana alianza kwa fujo sana akiwa mdogo, tulimuona genious na nikaruhusu ajiunge na shule katika umri usiofaa, aliendelea kuwa namba moja darasani lakini baadaye akaanza kuboeka.

Sasa hivi yupo darasa la nane anasubiri kufanya mtihani wa KCPE lakini huwa tunahangaika kumsukumizia masomo. Kila akiamua huwa anafanya vizuri, ina maana bado mwereveu lakini kiaina tumeshindwa kumfanya azidi kupenda masomo.

Niliamua sitarudia hilo kosa, mdogo wake nilisubiri muda ufike na sasa huwa champion, kila muhula yeye namba moja na huwa amechangamka kweli. Ni bora mtoto aendane na wenzie katika umri.
 
Kakiwa kakubwa katakuwa kakali haka katoto...cheki hayo mashavu,
 
Elimu yao ni nyepesi na haitumii nguvu hesabu zao chuo huku zingine ni advance pia wana walimu wazuri na hesabu ni msingi na mazoezi ya kutosha
 
Nakubaliana na wewe kabisa, ni bora mtoto afikishe umri na taratibu afuate mfumo uliopo. Mwanangu msichana alianza kwa fujo sana akiwa mdogo, tulimuona genious na nikaruhusu ajiunge na shule katika umri usiofaa, aliendelea kuwa namba moja darasani lakini baadaye akaanza kuboeka.

Sasa hivi yupo darasa la nane anasubiri kufanya mtihani wa KCPE lakini huwa tunahangaika kumsukumizia masomo. Kila akiamua huwa anafanya vizuri, ina maana bado mwereveu lakini kiaina tumeshindwa kumfanya azidi kupenda masomo.

Niliamua sitarudia hilo kosa, mdogo wake nilisubiri muda ufike na sasa huwa champion, kila muhula yeye namba moja na huwa amechangamka kweli. Ni bora mtoto aendane na wenzie katika umri.

ni vizuri kama umefahamu hilo. mazingira ya wenzetu na mifumo yao inaincourage learning, na hata mtoto akimaliza degree yake na miaka kumi na sita anapata kazi vizuri tu, tena anagombewa.

Wakina Tom Williams waliajiriwa Apple Inc wakiwa na miaka 14 tu!! Mifumo yetu ya elimu, mifumo yetu ya kikazi imekaa kitakataka zaidi, haitoi nafasi kwa watu wenye akili za ziada. January nilipeleka mtoto shule, aloishajifunza kuandika na kusoma nyumbani, lakini nililazimishwa aanze KG1, vidudu vyooote tayari anavijua kwa nini asiende japo darasa la kwanza?...BADO MDOGO!

Laiti ningekuwa na uwezo watoto wangu wangeenda kusoma hata uchina au nchi nyingine iliyoendelea, Tanzania tunafundishwa siasa tu, hatufundishwi uvumbuzi.
 
Back
Top Bottom