Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji mzuri tatizo ni kwamba una bara bara nyingi kuliko makazi.
Je hujui kuwa dunia iko kwenye campaign ya depopulation?Mji mzuri tatizo ni kwamba una bara bara nyingi kuliko makazi.
Najua lakini hawatowezaJe hujui kuwa dunia iko kwenye campaign ya depopulation?
Ok sawaNi sehemu za maofisi na biashara, makazi ni kwenye outskirts.
Labda unamakaz chini ya ardhMji mzuri tatizo ni kwamba una bara bara nyingi kuliko makazi.