Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

Status
Not open for further replies.
Video IPO wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am not blaming that girl for what she did, all am saying is suicide ain't something good.

I can imagine how hard it was for her after realizing her video has gone viral.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwa wasichana wetu wa kibongo huku mtaani wadada wana kulana na baba zao na awaoni sooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wa hvyo bas inawezekana alianza kufanyiwa huo mchezo akiwa mtoto so hadi anakua anaona kawaida.

Jana jion kuna kipind nliangalia huyo binti ni lesbian ukiskiliza story yake unaweza toa machozi...
Baba alifariki, wakabaki na mama n mama ni mtu wa busy na ni mkali sasa mjomba wake akawa anamfanyia mchezo mchafu huyo binti na anamwambia ukisema kwa mama yako nakuua! Hapo alikua na miaka 9...
Mtoto akazoea hadi akaanza kufanya na watoto wenzake wa kike maana aliona ni sawa, badae mama naye akafariki maisha yakawa mabaya zaidi...sasa ni mkubwa nadhan ana 20 yrs ndo yuko kwenye harakati za kuacha hyo tabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila haya mambo ya usagaji na ushoga magumu sana kuelewa. Na ukizoea ngumu sana kuacha mimi huwa naona ni kama ulemavu fulani wa kihisia ambao mtu huzaliwa nao. Mazingira naona yana mchango mdogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana, hawa watu ukiskiliza historia za maisha yao wengi wameathiriwa wakiwa wadogo. Tunaweza kuwajudge vibaya kumbe wanahitaji msaada.

Muhimu wazazi kuwa karibu na watoto na kuomba pia Mungu awalinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nahisi wengi uzaliwa hivyo na wachache ni kutokana na mazingira kama usemavyo.

I regard homosexuality as some kind of emotional impairment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…