Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Labda walipaka kilainishi
Ila haya mambo ya usagaji na ushoga magumu sana kuelewa. Na ukizoea ngumu sana kuacha mimi huwa naona ni kama ulemavu fulani wa kihisia ambao mtu huzaliwa nao. Mazingira naona yana mchango mdogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeegemea upande mmoja mkuu pia wengine huzaliwa hivyo ingawa na mazingira huchangia kwa kiasi kikubwaHawazaliwi nao ila huvuta na kushawishiwa na wafanyaji wa hilo janga la kisaikolojia baada ya hapo huwa janga zaidi na majuto mengi japo mbele za watu wanajiona wako sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hio nime-screenshotHivi Ni KWERI hi video ipo?
kelphin kepph
Mtumishi unaniangusha sana!Nime ku pm
kelphin kepph
TutaongeaKwann
kelphin kepph
Hahahahaha acha uchokozi