Mtoto wa miaka 6 haijui kusoma kalenda

Mtoto wa miaka 6 haijui kusoma kalenda

Mohammed Khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
1,256
Reaction score
1,815
Salam wakuu.

Nimekuwa nikimpima huyu kijana wangu mara kwa mara ila nahuzunika kuona hawezi kumaster mtiririko wa masaa na kalenda.

Mfano leo nimemjaribu na mazungumzo yakawa hivi;

Mimi: "..kwanin hujaenda shule wakati leo jumapili?.."

Mtoto: "...leo ni jumatano mwalimu kasema hatuendi shule hadi jumamosi.."

Nimekuwa niki prob akili yake kwa style hiyo na matokeo ndo hivo hata saa hajui kusoma.
 
Mtoto wa miaka sita bado ni mdogo kwahiyo asipoelewa hamna tatizo. Mpe muda afike darasa la tatu kwanza.
sahihi japo wapo wengine wanaweza na inategemea na care ya mzazi wa kwangu anamiaka mitano kasoro lkn anajua weekend hawaendi shule na kuna muda akitulia vzr anaweza kukwambia leo ni siku gani lkn saa bado hawezi kusoma
 
Nmekumbuka kisha cha profesa fulani,..

Wakati wa kuoa ulipofika akasema "Mimi ni mbaya kwa sura lakini nina akili nyingi, hivyo nitatafuta mwanamke asiye msomi (asiye na akili sana) lakini awe mzuri tu"

Target ya huyo profesa ni kuwa, mtoto achukue akili yake na sura ya mama yake, so 'perfect blend'

Matokeo sasa yakawa kinyume,, mtoto kazaliwa na sura ya profesa na akili ya mama yake..😅😅😅😅😅
 
Bro, mtoto akiwa na miaka 6 na bado hawezi kusoma saa wala kuelewa kalenda, hiyo ni red flag kidogo – siyo mwisho wa dunia, but you gotta act fast. Hapo unaweza kuwa na dalili za developmental delay au just lack of exposure. Weka learning kama game, sio kama stress. Teach him daily, play with time and dates – repetition is key, yaani daily drill. Na kama bado mambo hayaendi, bring in a pro – no shame in getting help.

Mtoto wako ni soldier mdogo, ila anahitaji commander mwenye mbinu. Time and date ni survival tools kwenye hii jungle ya life.
 
Mim nimejua kusoma calender nilipoanza kutumia counter book/form one
umeona kazi hiyo lkn pia watu wapo watu wazima kabisa hawawezi kusoma calendar kwanz mleta mada km anataka kid wake awe smart abandike ukutani vitu mbali mbali ikiwepo na calendar ili dogo awe anajifunza mwenyew
 
Back
Top Bottom