Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Yuko darasa la ngapiSalam wakuu.
Nimekuwa nikimpima huyu kijana wangu mara kwa mara ila nahuzunika kuona hawezi kumaster mtiririko wa masaa na kalenda.
Mfano leo nimemjaribu na mazungumzo yakawa hivi;
Mimi: "..kwanin hujaenda shule wakati leo jumapili?.."
Mtoto: "...leo ni jumatano mwalimu kasema hatuendi shule hadi jumamosi.."
Nimekuwa niki prob akili yake kwa style hiyo na matokeo ndo hivo hata saa hajui kusoma.
Kweli kabisa Niamini MimiKuna watu mpaka kwenye 45+, bado am na pm zinawachanganya!!!
Watu wanapenda kujifanya wataalamu hadi vitu wasivyovijua , kama sio mwalimu hasa mwalimu wa watoto wadogo , mwana-saikolojia au mzazi hapa nazungumzia atleast watoto sita uliokuza mwenyewe huna-qualifications za kumjibu mtoa mada mana utamchanganya zaidi , naomba niwaulize nyie mkiwa na miaka sita mlikuwa na huo uwezo? Mtoa mada mtoto wako bado mdogo kama bado una mashaka tafuta wataalamu wakusaidie humu utapokea michango mingi itaku-misleadBro, mtoto akiwa na miaka 6 na bado hawezi kusoma saa wala kuelewa kalenda, hiyo ni red flag kidogo – siyo mwisho wa dunia, but you gotta act fast. Hapo unaweza kuwa na dalili za developmental delay au just lack of exposure. Weka learning kama game, sio kama stress. Teach him daily, play with time and dates – repetition is key, yaani daily drill. Na kama bado mambo hayaendi, bring in a pro – no shame in getting help.
Mtoto wako ni soldier mdogo, ila anahitaji commander mwenye mbinu. Time and date ni survival tools kwenye hii jungle ya life.