Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

Naombeni kujua miguu ya mtoto mdogo Kama huyo inagusaje pads za break na acceleration
 
Naombeni kujua miguu ya mtoto mdogo Kama huyo inagusaje pads za break na acceleration
nenda kajifunze mitandaoni jinsi wajerumani wakiangaika na technology ya kuendesha gari hata kama umelala au una kikao au unasoma au una chati...

dunia imechangamka, wewe endelea kuangaika na wajapani
 
pambana akiweza baiskeli umnunulie ferrari, porsche hata bugatti... hachana na matoyota...
 
Huku kwetu umri huo yupo na kakikundi chipukizi cha🐭 🛣 anaimba woooyoo woyo woooyoooo
 
Hata kama uwezo hawana kivile wangeomba tu wazuge zuge kingeeleweka huko mbeleni wangeanza changia hata kidogo,siyo kumtengenezea mtoto mazingira ya kuogopa shule.
Unachosema ndicho kilivyo.

Even though hamna bei kubwa na wengi wanasoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…