Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 4,042 Reaction score 6,854 Jul 24, 2025 #1 Ndugu wa mtoto mvulana aliyejinyonga Arusha siku chache zilizopita, wanasema labda sababu ilikuwa ni kutazama filamu za kutisha Wazazi wangetuachia,Men of the Cloth,tutunze watoto,badala ya kuwapotezea muda watoto kwa kuwafundisha uongo
Ndugu wa mtoto mvulana aliyejinyonga Arusha siku chache zilizopita, wanasema labda sababu ilikuwa ni kutazama filamu za kutisha Wazazi wangetuachia,Men of the Cloth,tutunze watoto,badala ya kuwapotezea muda watoto kwa kuwafundisha uongo
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,749 Reaction score 62,766 Jul 24, 2025 #2 Eti kombolela🙄😂😭
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 30, 2025 #3 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Mangwea1900 JF-Expert Member Joined May 29, 2025 Posts 2,484 Reaction score 3,277 Aug 30, 2025 #4 Leejay49 said: Eti kombolela🙄😂😭 Click to expand... Kuna siku wanaozinga 3 wamebadilika mimi na Rose bado tupo chimbo fulani nafanya utafiti na kale kamsumari kangu Itaendelea kilichojiri nyumbani kwao...
Leejay49 said: Eti kombolela🙄😂😭 Click to expand... Kuna siku wanaozinga 3 wamebadilika mimi na Rose bado tupo chimbo fulani nafanya utafiti na kale kamsumari kangu Itaendelea kilichojiri nyumbani kwao...