Asante sana mkuu ila tumbo lake sio gumu lipo kawaida tu nafikiri kama ulivyosema itakuwa ni uchanga tu na pia anatumia maziwa ya mama pasipo kunywa kimiminika chochote.Ni hali ya kawaida kwa watoto wanaotumia maziwa ya mama tu , isipo kuwa kama anapata maumivu na kujikunja , fanya kumshika tumbo ukiona anajikunja kwa maumivu na tumbo ni gumu mwone daktari.
HashibiHabari za muda huu wakuu!
Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki.
Najua humu kuna wataalam wazuri tu, ivyo basi naomba tushee hapa jukwaani shida itakuwa nini?? Kuhusu uyu kijana wetu.
Asahnteni
Watoto wengi wanapewa Maziwa ya mama tu, huwa hawashibi. Huwa tunawapatia uji lakini uliochujwa kwa kitambaa ili washibeNi hali ya kawaida kwa watoto wanaotumia maziwa ya mama tu , isipo kuwa kama anapata maumivu na kujikunja , fanya kumshika tumbo ukiona anajikunja kwa maumivu na tumbo ni gumu mwone daktari.
Dalili za kushiba ni kupuuHapana anashiba mkuu
Maziwa yamama mara nyingi yanaenda kwenye mfumo wa kunyonywa zaidi na mwili kuliko kutolewa kama taka mwili , hivyo hupunguza kasi ya uchafu mwingi kutolewa nnje.Asante sana mkuu ila tumbo lake sio gumu lipo kawaida tu nafikiri kama ulivyosema itakuwa ni uchanga tu na pia anatumia maziwa ya mama pasipo kunywa kimiminika chochote.
Inawezekana kweli hashibi, kwenye kulala anajitahidi kulala vzuri pia halii sana ila kwenye mafuta ya samaki hapo inatakiwa nipunguze mana huwa tunampa sanaNahisi atakuwa hashibi. Je analala vizuri? halii mara kwa mara?
Ukizidisha kipimo cha mafuta yaa samaki mtoto anaweza pata choo kigumu.
Ulimpeleka kwa bwana mganga/daktari akupe mawaidha ya lasix?Habari za muda huu wakuu!
Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki.
Najua humu kuna wataalam wazuri tu, ivyo basi naomba tushee hapa jukwaani shida itakuwa nini?? Kuhusu uyu kijana wetu.
Asahnteni
Unajua kulea. Kuna wakati watoto wa siku moja wanapewa uji (uliochujwa na kitambaa) kumshibishaHuyo mtoto hashibi halafu achana na watalamu wa kusema mtoto kula mpaka miezi 6 wangu mi miezi 3 anakunywa uji wa kuchuja
KujisaidiaMkuu kupuu ndio kitu gani??
Ushauri huu umejitosheleza sana. Niseme nini baada ya hili.Ni hali ya kawaida kwa watoto wanaotumia maziwa ya mama tu , isipo kuwa kama anapata maumivu na kujikunja , fanya kumshika tumbo ukiona anajikunja kwa maumivu na tumbo ni gumu mwone daktari.