Mtoto wa miezi minne kulia sana

gileun

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
85
Reaction score
74
Habari!
Nina mtoto wa kiume ana miezi minne sasa. Tatizo ni kwamba huwa analia sana nikimshika/nikimbeba, lakini akishikwa au kubebwa na mama yake ananyamaza na mwisho wa siku anakua kawaida tu. Kuna aliyewahi kupitia hili, suluhu ilikua nini? Au sababu ya hili ni nini, maana linaninyima raha sana hata siwez kufurah na mtoto wangu.
 
Nafanya yote kwa maelekezo ya mama yake lakini hakuna lolote ni vile vile, au ni kwa sabab anakaa mda mwingi sana na mama yake?

unayosema inaweza kuwa kweli,amejenga bond na mama yake kwa kuwa anakua nae muda mrefu,wewe endelea kumbeba atakuzoea na wewe baada ya muda ukimbeba hatalia tena
 
Mkuu watoto wadogo wanajua mambo tofauti na tunavyohisi.
Kama alikuona unamzibua masikio lazima akuchukie maana anamuona mama yake ni dhahabu fulani haiwezi kugaragazwa ba yoyote ispokua yeye.
Na kama umefuata ujinga wa wahuni kwamba kumnyonya mzazi mwenzio wakati ananyonyesha ni Dili ndio utakua umeharibu kabisa.
Kuwa na subira atakuzoea tu ila kila ukirudi uje na kijizawadi AMA kwa mamake au kwa mtoto.
Mwisho kabisa nikupongeze kwa kupata mrithi. Sasa jiandae na school fees for the next 20 years. Mwisho kabisa. Usije ukamgusa huyo mtoto kama umetoka kwa mchepuko bila kubadili nguo na kuoga. Harufu ya mchepuko ni sumu ya watoto nambari one.
 
Mkuu umeanza kuhisi sio wako nini..???? nadhani ndio Logic ya swali lako ilipo

Usiwe na wasi, ni kawaida tu hio atakaa sawa kuwa nae karibu... ila hilo hapo Juu usilipuuze pia hehehhehehe
 
mama ana harufu ya kipekee ambayo mtoto anaijua
Yaani...we acha tu.
Kama amejifungua kama miezi minne hivi halafu umkute jioni hana make up wala hajajipaka mafuta yoyote ana ile harufu nechoroo. Sasa akupe kimoja cha wiziwizi ili dogo asije akaamka. Utaipenda ndoa.
 
Yaani...we acha tu.
Kama amejifungua kama miezi minne hivi halafu umkute jioni hana make up wala hajajipaka mafuta yoyote ana ile harufu nechoroo. Sasa akupe kimoja cha wiziwizi ili dogo asije akaamka. Utaipenda ndoa.
Heeee 😱 miezi minne una tia???😱😱
 
Nilisema. " ki wizi wizi"
Joto linakua 100%
Halafu na kule kula mitori mitori na misupu ya kuku kunakua kumemfanya awe tipwa tipwa fulani. We acha tu
Salaaaleeee. Mi napenda akiwa ana mimba bhana. Joto linakua kama furnace huko kwa chini. Ila aki zaa sijui kidactari imekaaje mimi najipa miezi ya kutosha kabla ya kula mzigo tena.
 
Brother umefanya nicheke sana, ingawa yaweza kuwa kuna ukweli flani hapo. Ila,sijawah kuchepuka so nadhani ni sabab zingine hizo[emoji23]. Pia nashkuru kwa ushauri wako katika aya ya mwisho uliyoandika
 
Hapana,sijafkia kuhisi ivo sabab mtoto kafanana na mimi hata ukimuona huulizi yan[emoji28]
Mkuu umeanza kuhisi sio wako nini..???? nadhani ndio Logic ya swali lako ilipo

Usiwe na wasi, ni kawaida tu hio atakaa sawa kuwa nae karibu... ila hilo hapo Juu usilipuuze pia hehehhehehe
 
Au sababu ya hili ni nini, maana linaninyima raha sana hata siwez kufurah na mtoto wangu.
Kapime DNA kama kweli ni wa kwako, labda mizimu ya baba yake imegoma usimshike mtoto wao!!!
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Hapo mimi nazungumzia kumbeba pale ambapo mama ake yuko busy na shughuli zingine pindi nikirud home toka mihangaikoni
Achana nako kanajifanya kajeuri hakamjui baba yake kama vipi hama tu nanyumbani muache mkeo Na mtoto katakua ni damu ya jirani yako hako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…