Mtoto wa miezi minne kulia sana

Mtoto wa miezi minne kulia sana

Habari!
Nina mtoto wa kiume ana miezi minne sasa. Tatizo ni kwamba huwa analia sana nikimshika/nikimbeba, lakini akishikwa au kubebwa na mama yake ananyamaza na mwisho wa siku anakua kawaida tu. Kuna aliyewahi kupitia hili, suluhu ilikua nini? Au sababu ya hili ni nini, maana linaninyima raha sana hata siwez kufurah na mtoto wangu.
Uwoga wako tuu. Mtoto wa miezi minne bado ni mdogo sana naweza kulia hata akiwa amebebwa na mama yake. Ukiwa na muda jitahidi akuone wakati akiwa na mama yake ata kuzoea na utasahau yote. Ila ukianza tu kumkaribisha shetani kichwani mwako uka anza kumkagua kwa macho ya ukali na roho ya husuda anaweza kulia mpaka azimie
 
Salaaaleeee. Mi napenda akiwa ana mimba bhana. Joto linakua kama furnace huko kwa chini. Ila aki zaa sijui kidactari imekaaje mimi najipa miezi ya kutosha kabla ya kula mzigo tena.
Mimi miezi miwili inatosha kabisa sema sasa hapo tatizo muda wote unakumbushwa usimwage ndani na ukitumia ndom ndio ivo tena tabu safari inakua ndeeefu
 
Kuna mtoto ukimuangalia tu huna haja ya kupima DNA,hahaa
Kwa dunia ya sasa hilo litawezekama kama mkeo hajakaa karibu kabisa na watu mnao fanana nao kama baba, kaka na na wengine unaofanana nao
 
Umenichekesha sana nkuu ila upo sahihi sana . Kama una majimambo yako hayapo sawa ukimgusa mtoto analia hatari
Uwoga wako tuu. Mtoto wa miezi minne bado ni mdogo sana naweza kulia hata akiwa amebebwa na mama yake. Ukiwa na muda jitahidi akuone wakati akiwa na mama yake ata kuzoea na utasahau yote. Ila ukianza tu kumkaribisha shetani kichwani mwako uka anza kumkagua kwa macho ya ukali na roho ya husuda anaweza kulia mpaka azimie
 
Itakua kamzoea mama yake zaid...

Alafu mama yake anaziwa la yeye kunyonya kwa hiyo usisononeke sana...

Akikua ataacha kulia lia...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom