Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 May 16, 2019 #1 Habarini wana Jf Nime bahatika kupata mtoto wakiume ametimiza miezi miwili sasa...tatizo nikwamba hapata choo leo ni siku ya sita Je tatizo ni nini au kuna njia yoyote yakumsaidia apate choo?
Habarini wana Jf Nime bahatika kupata mtoto wakiume ametimiza miezi miwili sasa...tatizo nikwamba hapata choo leo ni siku ya sita Je tatizo ni nini au kuna njia yoyote yakumsaidia apate choo?
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,274 Reaction score 6,257 May 16, 2019 #3 Kawaida tu hiyo mzee ondoa hofu.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 May 16, 2019 #4 Maziwa kananyonya vizuri?