Mtoto wa miezi miwil kutopata choo

Mtoto wa miezi miwil kutopata choo

Wakuchanja

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
82
Reaction score
54
Habarini wana Jf
Nime bahatika kupata mtoto wakiume ametimiza miezi miwili sasa...tatizo nikwamba hapata choo leo ni siku ya sita
Je tatizo ni nini au kuna njia yoyote yakumsaidia apate choo?
 
Back
Top Bottom