Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ?

Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next generation step up. What my forefathers instilled in me, I now pass on. 🦁

//

Ninajivunia kijana wangu mkubwa, Abbas Mo Dewji @abbasmodewji. Kama baba, hakuna kinachonipa unyenyekevu zaidi kuliko kuona kizazi kinachofuata kikisimama. Misingi niliyopewa na mababu zangu sasa nakikabidhi kwao. 🦁

#Dewji #Legacy
20250817_210704.jpg
20250817_210708.jpg
20250817_210712.jpg
 
Inawezekana mkuu maana hata ujumbe ni kama unaenda mulemule.

Hizo jamii zina akili sana.

Wanasomesha watoto kwa malengo.

Miaka ya 90 wakati mo dewji anamaliza high school pale IST na kuelekea chuo kikuu USA. baba yake na Mo mzee Dewji alinunua shirika la uma lililoitwa National Milling kwa ajili ya Mo dewji kuja kuliendesha akimaliza chuo Gergetown marekani.

Yaani Mo dewji anaenda chuo anajua kabisa akimaliza chuo anakuja kusimamia nini. Yaani alipangiwa kabisa cha kwenda kusomea chuo kiendane na anachokuja kusimamia
 
Familia ya Mengi ina mgogoro mkubwa mahakamani mpaka sasa kama nipo sahihi baada tu ya kukata moto mzee
Mgogoro wao ni changamoto ya mgawanyo wa Mali baada ya Mke mdogo kuanza kudai share yake ili hali Mali zote na biashara zote amezikuta tayari Marehemu anaziendesha


Hata hivyo, wamefanikiwa kuliweka hili sawa maana Kuna kiasi cha Pesa almost milioni 240 hivi anapewa Kwa Mwaka kwaajili ya Matumizi yake binafsi
 
Back
Top Bottom