ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Kwaiyo mo Kuna sehemu alipo.!Hata mo alikuwa broiler huku wewe ukiwa mbuzi wa kienyeji sasa sijui kwasasa huo umbuzi wa kienyeji umeufikisha wapi
Kwaiyo mo Kuna sehemu alipo.!Hata mo alikuwa broiler huku wewe ukiwa mbuzi wa kienyeji sasa sijui kwasasa huo umbuzi wa kienyeji umeufikisha wapi
NO. Hao akina MO,Manji etc ukifika 40s unaachia new generation waendelee. Ni utaratibu mzuri sana. Dunia na biashara kwa jumla inabadilika sasa wewe ukiwa kwenye 40s kwenda 50s huko unakuwa na mawazo ya kizamani,less motivated ndio maana wanawaachia new generation waendelee. Ila hao new generation wameandaliwa vya kutosha.kama viongozi wa Zambia tu, kurithishana madaraka
Wenzetu wanarithisha watoto wao Elimu/Exposure pamoja na biashara/utajiri
Sisi tunarithisha watoto wetu umasikini/ufukara pamoja na roho ya umasikini🙌
Umesahau na uchawiWenzetu wanarithisha watoto wao Elimu/Exposure pamoja na biashara/utajiri
Sisi tunarithisha watoto wetu umasikini/ufukara pamoja na roho ya umasikini🙌
Kama kuku na vifaranga. Ukute wahenga ndo walipopata hii idea.Sisi waswahili tunafukuzwa na wazazi wetu tukaanze moja kuutafuta utajiri, wanadai ktk mila na desturi mali au utajiri wa wazazi siyo wetu, hawataki kuturithisha.
Wenzetu akikabidhiwa mikona kampuni itasimama na kukua tofauti na sisi ngozi nyeusi…ukikabidhiwa tu kampuni inakufa kwasasabu kwanza hatuna uaminifu wala uchungu na pili kama wazazi hatuandai zetu kwa kusoma vitu ili waje wasimamie kampuni…unakuta mzazi una kampuni inayoshughurika kilimo lkn mwanao anaenda chuo kusomea ualimu…Je, dogo ndie BOSS ajaye wa Metl ?
Hasira za nini we ngedere fanya kaziHuyu nae ni fala kama mafala wengine
Kama angekuwa na kitu cha kurithisha hakuwa na sababu ya kukiweka public
Hilo broiler lake kwa macho tu linaonekana empty set
Kama anataka kulipa promo kwenye upuuzi wa mipira hapo atakuwa sahihi
Heri ya mimi ngedere arukaye kwenye matawi kuliko wewe Kima mtembea kwa miguuHasira za nini we ngedere fanya kazi
Shauri ya upuuzi wa kuchukua yule Mhutu sijui Mtusi ndiyo mgogoro ulipoanzia, bila hivyo wangekuwa na amani!Familia ya Mengi ina mgogoro mkubwa mahakamani mpaka sasa kama nipo sahihi baada tu ya kukata moto mzee
Sisi tunajidanganya kuwa urithi wa mtoto ni elimu peke yake. Kuna wapumbavu wakaenda mbali kwa kusema "Tajiri na mali zake, maskini na wanae" utadhani matajiri hawana watoto.
Ulitaka wewe ndiye uwe mrithi wa MO mkuu?kama viongozi wa Zambia tu, kurithishana madaraka
Nyie si mnarithishwa uchawi tu mkuu. Ni sawa tu na Mo alivyomfanyia mwanaye kwani ndio kitu pekee ambacho familia yako wanacho.Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ?
Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next generation step up. What my forefathers instilled in me, I now pass on. 🦁
//
Ninajivunia kijana wangu mkubwa, Abbas Mo Dewji @abbasmodewji. Kama baba, hakuna kinachonipa unyenyekevu zaidi kuliko kuona kizazi kinachofuata kikisimama. Misingi niliyopewa na mababu zangu sasa nakikabidhi kwao. 🦁
#Dewji #Legacy
View attachment 3444598View attachment 3444599View attachment 3444600