Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Hayo ndiyo mambo yanatutafuna Wabongo
Kweli tuna safari ndefu sana katika kufikia ustawi wa familia/Koo 🙌
Hayo ndiyo mambo yanatutafuna Wabongo
😁😁😁 hakikaNa huo ndiyo balaa
Unakutana na familia, Kijiji kizima kinawaogopa kisa Uchawi
Ukija kwenye vikao vya Serikali, wanaitwa Wazee wa Mila
Kumbe wamejimilikisha Uchawi wa Wilaya nzima upo kwao 🙌
Hii Nchi ina shida sana aisee😁😁😁 hakika
Je babu yake MO?Baba yake mo dewji ndio anafaa apewe maua yake. Huyo mzee Gulam wanasema yuko vizuri kitambo sana. Ila ni aina ya watu ambao kwa kizungu wana fanya boring businesses kitambo au wanaita Silent Money.
Mwenye historia ya kina ya Mzee wake Mo, Gulam Abbas Dewji ailete.
Hakika raha Sana Babu tajiri , Baba Tajiri, mjukuu tajiri wealthiness Family.Hii Nchi ina shida sana aisee
Hayo mambo yanaturudisha sana nyuma
Sio masikini tu wana la kujifunza,hata matajiri pia,Masikini wanalo lakujifunza hapa MTU unazaa mtoto aje aendeleze utajiri that's good.
Babu na bibi yake mo walikuwa na maduka tu. Ila huyo Gulam Abbas Dewji ndio Mwanaume kweli kweli. Kutoka maduka mpaka mtu wa jumla, hadi muagizaji mkubwa, mpaka mmiliki wa viwanda, pia alikuwa importer mkubwa na exporter mkubwa enzi hizo. Alikuwa ananunua mashirika na viwanda vya serikali zama hizo anayasomba kwa fujo, maana yake wakati nchi inafilisika yeye alikuwa na hela nyingi mno, huyo Gulam Abas Dewji ndio Mwanaume na nusu. Huyo Gulam Abbas Dewji ndio Mwanaume kweli kweli. Hata kama kuna mambo meusi na konakona alizifanya basi alijipanga kweli kweli..............huyo Gulam Abbas Dewji inabidi historia yake itafutwe kama ni safi ijulikane kama ni chafu ijulikane.Je babu yake MO?
Hii nzuri SanaBabu na bibi yake mo walikuwa na maduka tu. Ila huyo Gulam Abbas Dewji ndio Mwanaume kweli kweli. Kutoka maduka mpaka mtu wa jumla, hadi muagizaji mkubwa, mpaka mmiliki wa viwanda, pia alikuwa importer mkubwa na exporter mkubwa enzi hizo. Alikuwa ananunua mashirika na viwanda vya serikali zama hizo. Huyo Gulam Abbas Dewji ndio Mwanaume kweli kweli. Hata kama kuna mambo meusi na konakona alizifanya basi alijipanga kweli kweli..............huyo Gulam Abbas Dewji inabidi historia yake itafutwe kama ni safi ijulikane kama ni chafu ijulikane.
Hii inaonekana kuwa tabia ya binadamu ya kudumu, maana sio Tz tuMzee Mwinyi kamrithisha mwanae urais ..
JK anataka kumrithisha mwanae urais
Mwigulu anamuandaa mwanae
Wengine wanarithishwa majimbo
Huyo Gulam Abbas Dewji ndio noma sana. Kama alitumia mbinu nyeusi basi alikuwa kajipanga mno. Kama kampuni ina mikono ya watu wazito, basi hao watu wazito walijipanga.Hii nzuri Sana
Hivi mo dewji hakusoma arusha school ehhHizo jamii zina akili sana.
Wanasomesha watoto kwa malengo.
Miaka ya 90 wakati mo dewji anamaliza high school pale IST na kuelekea chuo kikuu USA. baba yake na Mo mzee Dewji alinunua shirika la uma lililoitwa National Milling kwa ajili ya Mo dewji kuja kuliendesha akimaliza chuo Gergetown marekani.
Yaani Mo dewji anaenda chuo anajua kabisa akimaliza chuo anakuja kusimamia nini. Yaani alipangiwa kabisa cha kwenda kusomea chuo kiendane na anachokuja kusimamia
Mimi naona mo anasifiwa bure. Baba yake mo ndio Mwanaume kweli Mzee Gulam Abbas Dewji ndio Mwanaume aliyefanya kazi kweli kweli toka maduka ya matumizi ya nyumbani hadi kuwa importer mkuu na kununua viwanda vya serikali zama hizo.Hivi mo dewji hakusoma arusha school ehh
Ova
Naelewa vzr!Mimi naona mo anasifiwa bure. Baba yake mo ndio Mwanaume kweli Mzee Gulam Abbas Dewji ndio Mwanaume aliyefanya kazi kweli kweli toka maduka ya matumizi ya nyumbani hadi kuwa importer mkuu na kununua viwanda vya serikali zama hizo.
Je unaijua historia ya Mzee Gulam Abbas Dewji? Pesa aliitoa wapi enzi hizo, au mambo meusi au umafia au mikono ya wakubwa au connection?
Hilo rika la hao wazee akina Bakhresa, Baba yake Mo, Baba yake GSM, na akina Baba ambao ni wazazi wa mabilionea, na matajiri wa kitanzania, story zao zina konakona nyeusi..........Naelewa vzr!
Wote hao hadi wakina bba yao GSM nk
Namna walivyopata utajiri....
Ova
Dah, mbona kama umeniongelea mimi 😂Wazazi wetu sidhani kama wanajivunia kuwa nasi,😁
Unakuta hata call hawapati hasa sisi wanaume
Naelewa,ndiyo rika la Mzee wanguHilo rika la hao wazee akina Bakhresa, Baba yake Mo, Baba yake GSM, na akina Baba ambao ni wazazi wa mabilionea, na matajiri wa kitanzania, story zao zina konakona nyeusi..........
wanaume tumeumbwa matesoWazazi wetu sidhani kama wanajivunia kuwa nasi,😁
Unakuta hata call hawapati hasa sisi wanaume
