Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

Hongera kwa Mo Dewji kwa kushika na kuyafanyia kazi maadili na mafunzo ulio pewa na wazazi wako na wewe kuleta watoto wako kwa malezi yenye maadili na mafunzo kemkem ya nyanja mbali mbali.
Kijana yuko tayari kuchukua masuulia ya kuingiza Metl wakati muafaka ukiwadia
 
Sisi wazee wakitoka ni vita ya mali tu 😄

Ova
 
Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ?

Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next generation step up. What my forefathers instilled in me, I now pass on. 🦁

//

Ninajivunia kijana wangu mkubwa, Abbas Mo Dewji @abbasmodewji. Kama baba, hakuna kinachonipa unyenyekevu zaidi kuliko kuona kizazi kinachofuata kikisimama. Misingi niliyopewa na mababu zangu sasa nakikabidhi kwao. 🦁

#Dewji #Legacy
View attachment 3444598View attachment 3444599View attachment 3444600
Mwamba anaota mvi kwa spidi sana. Au piko imegoma?
 
Ila hamtaki watoto wa viongozi kugombea 😂😂😂😂😂
Ni kwa kuwa ni majizi ya mali za umma, mafisadi papa.

Yamesababishia hasara kubwa kwa nchi halafu yanataka kurithisha muendelezo wa wizi na ufisadi wa kutisha kwa kizazi kinachofuata...

Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ?

Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next generation step up. What my forefathers instilled in me, I now pass on. 🦁

//

Ninajivunia kijana wangu mkubwa, Abbas Mo Dewji @abbasmodewji. Kama baba, hakuna kinachonipa unyenyekevu zaidi kuliko kuona kizazi kinachofuata kikisimama. Misingi niliyopewa na mababu zangu sasa nakikabidhi kwao. 🦁

#Dewji #Legacy
View attachment 3444598View attachment 3444599View attachment 3444600
Kama mtu mweusi anajikita kufanya majungu Kwa wenye pesa hususani Waarabu unategemea ataruthisha nini Kwa mwanae zaidi ya malalamiko na upumbavu mwingine?
 
Hili suala nimelizungumzia kwenye ule uzi wangu, mafukara yakaja kunipopoa.

Hata hapa wamejaa wana comment kwa hasira na chuki.
Nyie mafukara ndio wale walioona nongwa baada ya Singasinga kutinga kwenye harambee ya CCM.

Sijajua kama ufukara ndio sifa Kwa hapa Bongo au? 😆😆
 
Huu uzi unanishangaza sana, watu wanatukana wazee wao kabisa. Binafsi naelewa baba alikuwa fukara, na lau kama angekuwa tajiri tungekuwa kama huyo dogo Abbas. kwa sasa kilichobaki ni mimi kupambana wanangu waenjoy wasijekunitukana kama wachangiaji mada wa jf
 
Ila kwa namna flani sisi weusi tunazingua, tunasemaga "tugawane babaaaa kila mtu afe na chake"
 
Back
Top Bottom