Sio kwamba hatufanani tu rangi ya ngozi zetu hata tabia na tamaduni hatufanani nao japo sote ni Watanzania.Wenzetu wanarithisha watoto wao Elimu/Exposure pamoja na biashara/utajiri
Sisi tunarithisha watoto wetu umasikini/ufukara pamoja na roho ya umasikini🙌
Inawezekana mkuu maana hata ujumbe ni kama unaenda mulemule.Huyo ametambulishwa sababu muda si mrefu anapewa kijiti cha kuiongoza kampuni ya familia Mohammed enterprises.
Kama ambavyo baba yake Mo alivyopewa na Baba yake pia ambaye ni babu wa huyo mtoto
Ni kweli lakini wapo wenzetu (Wa bongo)wamefanikiwa kurithisha watoto waoSio kwamba hatufanani tu rangi ya ngozi zetu hata tabia na tamaduni hatufanani nao japo sote ni Watanzania.
Familia ya Mengi ina mgogoro mkubwa mahakamani mpaka sasa kama nipo sahihi baada tu ya kukata moto mzeeNi kweli lakini wapo wenzetu (Wa bongo)wamefanikiwa kurithisha watoto wao
Angalia Mzee Mengi, na Mzee Shirima yule wa Precision air
Hee kwani we hujui kuwa kila aliyefanikiwa ana upinzani/ushindani ambao huzalisha uadui?Maadui gani hao ?
Inawezekana mkuu maana hata ujumbe ni kama unaenda mulemule.
Mgogoro wao ni changamoto ya mgawanyo wa Mali baada ya Mke mdogo kuanza kudai share yake ili hali Mali zote na biashara zote amezikuta tayari Marehemu anaziendeshaFamilia ya Mengi ina mgogoro mkubwa mahakamani mpaka sasa kama nipo sahihi baada tu ya kukata moto mzee