Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

Konseli Mkuu Andrew

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
749
Reaction score
875
Wakati mnapigania elimu bure, nyie mnajua jinsi ya kuwekeza kwenye elimu bora. Namba 5

Angelitha Msukuma.jpg
 
Hongera kwa Mheshimiwa Mbunge na mfanyabiashara Joseph Kasheku Msukuma
 
Hapo ndio akili zitukae sawa wanaopigia dau elimu bure watoto wao wako kwenye shule za gharama.kazi kwako je elimu bure Ni elimu Bora au Ni Bora elimu maskini wenzangu tutafute pesa wanasiasa tuwaache na ngonjera zao ili angalau nasi wale watoto wetu wa kayumba tuwape walimu angalau sh.200 ya remedial jioni watoto waongezewe maarifa
 
Baba kapata PhD na mtoto kapata A zote, karithi akili za baba.
Anasema kuwa "sasa nimepata PhD nimekuwa msomi hivyo nitakuwa nahoji kisomi na wasomi wenzangu|" sema huwa namkubali sana, alivyo yeye kuna somo kubwa kwa sie tusienda shule kuamini kuwa unaweza fika level kubwa pasina hata kwenda shule
 
Hapo ndio akili zitukae sawa wanaopigia dau elimu bure watoto wao wako kwenye shule za gharama.kazi kwako je elimu bure Ni elimu Bora au Ni Bora elimu maskini wenzangu tutafute pesa wanasiasa tuwaache na ngonjera zao ili angalau nasi wale watoto wetu wa kayumba tuwape walimu angalau sh.200 ya remedial jioni watoto waongezewe maarifa
Bob wangwe anadai kuwa hata hizo shule za serikali zianze kutengwa kijinsia inaweza kupush elimu, shule nyingi za serikali zenye ufaulu hafifu ni za mchanganyiko
 
Back
Top Bottom