Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

Hizi no result za wapi zinazotoka na majina ya watainiwa badala ya number zile za NECTA sijaiona majina
 
Duuh nakumbuka miaka hiyo form two nilipata A tatu.

Hii ni zaidi ya balaa.
 
Hebu kwanza tupate aina ya maswali yaalioulizwa kwanza,isije kuwa ni Yale ya ;a) sita,b)kumi,c)name,,,,na jibu ni a na umepata A
 
Babake ana PhD Dr King Musukuma. Tuelewe jamani genius huzaa genius!
 
Back
Top Bottom