Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

naungana na hoja yako mkuu
 
Bob wangwe anadai kuwa hata hizo shule za serikali zianze kutengwa kijinsia inaweza kupush elimu, shule nyingi za serikali zenye ufaulu hafifu ni za mchanganyiko
Wanapelekeana moto hovyo,uangalizi ni mdogo tofauti na shule za gharama.
 
hata hizo za bweni ndio hali ni mbaya, walimu wanaacha mabaya yaendelee kutendeka kwasababu hamna motisha yoyote ile.Shule kama St Fransis, walimu hapo wanajua fika kuna bonus zao mwezi huu kwa kufaulisha vyema
 
Nikajua Mapera Makavu Secondary School, elimu bureee, na bure kwerikweriii
Mapera Makavu hakuna motivation kwa walimu ndio maana wamejichokea, wao kila siku utasikia mkurugenzi amzibua vibao mwalimu mkuu , mara mkuu wa wilaya ampiga viboko mkuu wa shule hali inayowafanya wajisikie wanyonge
 
Sijakataa hilo, ni kweli shule za jinsia 1 zina faida ktk kukuza ufaulu, ila pia kumbuka hasara ya mambo ya ujinsia. Nadhan umenielewa.
 
Wasomi wengi wasiokua na taaluma..
Ajira ziko wapi?
Kwani ilani ya chama 2020-2025 si iisema itazalisha ajira milioni 8? pia mkuu kupata elimu sio ndio kupata kazi/ajira, "purpose of education is to replace an empty mind with an open one"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…